Recent content by A Kopite

  1. A Kopite

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mfumo wa kupaki basi huwa unatusumbua sana kupata matokeo.
  2. A Kopite

    GERRARD vs SCHOLES vs LAMPARD, yupi ni 1, 2 na 3?

    Ubora wa steven Gerrard ulikuwa ni kwenye kushambulia,ila defensively alichomesha sana. Lampard na scholes viwango vinaendana kwa kiasi fulani. Hivyo kwa upande wangu naona;. 1. Lampard. 2.Scholes. 3. Gerrard.
  3. A Kopite

    Uzi unaobeba michoro ninayochora kwa mikono yangu na kazi ninazojaribu kujifunza katika Adobe Photoshop

    Ni mchoraji mzuri, michoro huwa inabeba ujumbe mkubwa sana kwa jamii na pia baadhi huelezea hali ya mchoraji. Inaelekea unapitia kipindi cha upweke ama huzuni.
  4. A Kopite

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Yalla Tv
  5. A Kopite

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Dogo ni mbovu sana katika kuzuia mashambulizi.
  6. A Kopite

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    TAA kama kawaida yake mechi dhidi Man City anaendelea kuwa uchochoro.
  7. A Kopite

    Bila kutaja miaka yako, tuambie una umri gani

    Nilianza kuifuatilia hii enzi hizo ITV .
  8. A Kopite

    Mabraza wenye miaka 40+, mkiendelea kuwahubiri vijana wa 20+ na 30+ kupuuzia mambo haya kuhusu wanawake then they will be no hope for the future

    Hao wa kuwareplace na wengine,ni wale wa kuokoteza mtaani (kuishi nao bila ridhaa ya wazazi ama ndugu ).
  9. A Kopite

    Mabraza wenye miaka 40+, mkiendelea kuwahubiri vijana wa 20+ na 30+ kupuuzia mambo haya kuhusu wanawake then they will be no hope for the future

    Naona anayezungumziwa hapa ni mpenzi na si mke wa ndoa. Kama ni mke wa ndoa,utaachana nao wangapi?.
  10. A Kopite

    2021 AFCON Special Thread

    Ivory Coast wana kikosi kizuri, naamini watafika mbali. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. A Kopite

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kelleher save
  12. A Kopite

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Minaminoooo
  13. A Kopite

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Jotaaaaa
  14. A Kopite

    Tujikumbushe Wacheza Soka Waliostaafu mapema

    Jamie Redknapp 31 & Dean Ashton 26.
Back
Top Bottom