Recent content by _SiDe_

  1. _SiDe_

    Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu Zanzibar Othman Masoud atoa maelezo ya kina juu ya Muungano na Mafuta

    Ni makala ndefu mno ila itworth kuisoma ili kujua mengi kuhusu Muungano wetu KAMARA KUSUPA NA MTAMBO WA KASUMBA JUU YA ZANZIBAR Nimesoma katika Gazeti la An-nuur la tarehe 11- 17 Novemba, 2016, Makala ya Mwinjilisti Kamara Kusupa isemayo “Kabla ya kudai “Fungu Baraka” Ulizeni nani aliitoa...
  2. _SiDe_

    MV Mapinduzi II imenunuliwa kwa dola millioni 30.85$ Ndani ya Miezi Tisa Mtengenezoni Mombasa

    MELI mpya ya Mapinduzi II inatarajiwa kuondoka nchini Jumaatatu ijayo kuelekea Mombasa chelezoni kwa kufanyiwa ukaguzi wa kawaida baada ya dhamana ya mwaka mmoja iliyowekwa kati ya Serikali na mtengenezaji wa meli hiyo. Hayo yamesemwa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na...
  3. _SiDe_

    Rangi za bendera ni ujumbe, uzalendo au urembo?

    Possibly huwa wanapeperusha bendera ya Zanzibar ikiwa tu Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar yumo ndani ya office kwa wakati huo, na katika kikao cha BARAZA kuu lao alikuwapo.
  4. _SiDe_

    Bungeni: Ndugai amkingia kifua Waziri Magembe

    Jamani tatizo la Ndungai lipo wapi? Utaratibu ni kuwa Waziri anawasilisha hotuba yake ya budget hadi anamaliza hakuna cha muongozo wala hakatishwi, just anasikilizwa tu. Kama Waziri amedanganya kwenye Budget yake then katika uchangiaji wa Budget, mbunge anaejua atajulisha Bunge yakuwa Waziri...
  5. _SiDe_

    Propaganda za CCM dhidi ya ugaidi ni hatari kwa mahusiano ya kimataifa!

    "Wenzetu wa mataifa mengine huuchukulia ugaidi, na vitendo vyake vyote kwa tahadhari na umakini mkubwa, hawakurupuki, hawaropoki na wala hawashutumu bila kufanya uchunguzi wa kina na kujidhirisha kama kweli kuna tendo/kitendo cha ugaidi ama laa. Mfano raisi Barack Obama kwenye maelezo yake ya...
  6. _SiDe_

    Dr Shein amtimua kazi Waziri Himid!

    What about Maalim na mawaziri kutoka CUF ambao wanasema hadharani MKATABA! Watatimuliwa pia? On ma opinion Shein anajitutumua ila amechelewa sana, hawezi shinda hii battle.
  7. _SiDe_

    Pamoja na uamsho kufunguka panatakiwa uchunguzi zaidi

    Kuna tetesi ya kuwa Shein anakutana na viongozi wa dini, possibly UAMSHO on Monday
  8. _SiDe_

    Kipimajoto ITV: Tundu Lissu ndani ya nyumba

    Umemaliza kila kitu, just tuonane EAC
  9. _SiDe_

    Naibu amiri wa jumuiya ya uamsho awasili Zanzibar akitokea Oman

    Martin David Serikali ni wananchi, viongozi wafanye vile wananchi wanaona inafaa. Mimi nadhani Serikali ipo right kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao. (not kuchoma makanisa). Wapeleke tu kura ya maoni.
  10. _SiDe_

    Elections 2010 Dr. Shein aibuka kidedea; kuiwakilisha CCM urais Zanzibar 2010

    good news kwa kushinda Shein, sio BILAL tu kaanguka! wameanguka Janjaweed na wote waliokuwa tayari kuturudisha kwenye jino kwa jino. Looking foward to to see free and fair election October 2010.
  11. _SiDe_

    Elections 2010 Mheshimiwa John Pombe Magufuli awe Rais wetu

    Mkuu sijaelewa hapa just nieleweshe. Atakaefariki ni ataempinga JK ndani ya CCM or hadi wagombea wa vyama vya upinzani wataosimama kuwania URAIS 2010??
  12. _SiDe_

    Nani atakuwa Rais muokozi wa Tanzania?

    kwani na hao kina Lyatonga na wengineo wao walitokea chama gani? si CCM!!
  13. _SiDe_

    Lukuvi: Mbunge, Mkuu wa Mkoa, M/kiti bodi ya wakurugenzi wa taasisi ya Umma!

    Nakumbuka mara moja Mh Ali Ameir kule Zanzibar alikuwa Mbunge wa jimbo la Donge, Mjumbe Baraza la Wawakilishi kuteuliwa na Rais, Waziri wa mambo ya ndani Tz, Waziri asiekuwa na Wizara maalum ZNZ (MBM), Naibu katibu mkuu CCM Zanzibar. Kwenye CCM tena mjumbe wa vikao vyoote vya juu ZNZ na TZ...
  14. _SiDe_

    Zanzibar itakufa kama Tanzania ikifa!

    MOD peleka kwenye udaku hii kitu please, hamna kitu humu. (pumba tupu)
  15. _SiDe_

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Serikali ya Mungano (Bara) wanafanya kila hila kuimaliza Zanzibar kiuchumi, ili tu ifikie mahali Wazanzibari waseme tumeshindwa kujiendesha. Na ndio maana kila kitu chenye nia ya kuinua Zanzibar, inasemwa kipelekwe kwenye mamlaka ya Muungano. Haya yote ni janja ya Serikali mbili kuelekea moja...
Back
Top Bottom