Kipimajoto ITV: Tundu Lissu ndani ya nyumba

Mjumbe Rashid salum: Anamsifia JK na anasema viongozi wa znz ni waoga na hawajui wanachokifanya. anashauri viongozi wa znz waamke na wawe wawazi.anashauri tujitenge na kila nchi iwe na mamlaka yeke kisha tuweke mkataba wa mashirikiano.
 
Mwanasheria "nafikili toka TISS": tutafute suluhu, siamini kama nyerere na karume hawakufikilia, watu wasivunje sheria na uhuru una mipaka "anatoa vitisho naona"
 
Mjumbe: tuwape fursa wananchi waamue, tusiufanye muungano kama mfu, jambo lingine Tume ya katiba inaanza kufanya kazi lakini haijaridhiwa na balaza la wawakilishi
 
Cha ajabu kipimajoto kimebadilika watu wanajadili MUUNGANO TU sio uamsho tena.
hahahahahahahahahaha

umeonaee! Habari za uamsho zimepotelea juu kwa juu,ila hapo ilikuwa vgumu kuwajadili uamsho bila kuujadili huo muungano wenyewe,ila tindu ameliona hilo na amelizungumzia
 
LISSU: sababu ya yanayotokea ni siasa za muungano na lazima yatafutiwe majibu, na kuna wanaodhani kuwa majibu pekee ni kuuboresha muungano na kwamba wanaosema usiwepo wana makosa, lakini wanasahau kuwa katiba inaruhusu kuvunja muungano.
 
Kiukweli ambaye kaongea ukweli leo pasipo kuficha kitu ni yule JAMAA MWENYE KOTI LA KIJANI, huwa namkubali sana lisuu lakini kwa hoja zake leo kashindwa kusema ukweli na kaficha ukweli juu ya tukio la zanzibar, kwani lissu hajui kama hao uhamsho ndo walochoma makanisa ? Hajui kwamba zenji kuna ubaguzi wa kidni uliokubuhu? Hajui kama tatizo kubwa ni udini na muungano ni tatizo dogo ktk hilo? Hajui kama wazenji ni wabinafsi by nature hata ukitrace historical background?
Kwa leo lissu sio siri kachemka sana kwani hana tofauti na mtatiro ambaye naye juzi katoa tamko la uoga uoga!
TUWAPATE WAPI WATU KAMA KING LUTHER WANNA PLATO WENYE MSIMAMO WA UKWELI PASIPO UOGA WOWOTE?!!
 
Tundu kachemka leo..anataka reduce suala la umasho na udini ana amplify mrengo wa kisiasa.Keshakuwa ktk position ya kuwa useful idiot.

Terrorist huwa wanaanza km useless criminals halafu wanapata majibu kwa jamii kupitia commentator na analysts, then wanapata ujanja wa kujiimarisha..Mfa..mtu anasema kuwa kundi halina support kwa vijana..wanataitafuta. mf. hawa jamaa wanapigania mamabo ya Muungano, wanchoma makanisa mengine ili waonekane kuwa wapigania haki..tayari wamesaidia kukamilisha nia yao ya kuupinga ukristu au hata kuwafanya wakristu kafara....Halafu nasimama useful idiot mwingine...hawa jamaa wana hatari ya kuingia online na hivyo watapata mafanikio ktk kukuza tishio jamaa wanakwenda online na habari yao inaangaliwa kwa vile jamaa wanawatangaza bure...Then jamaa wansema wanweza kuwa affiliated with alqaeda..jamaa wanajaribu pata membership...

Lisu anaiangamiza CDM na kuiinua CCM.makosa haya ni ya CCM na serikali yake, kwani waislam ndio wanongoza nchi, wizara ya ulinzi, polisi, etc wanakwenda misikitini, na hawa msheikh wengine wana mahusiano binfsi na hawa viongozi, hotuba zao za chuki, za kuunganish aukwitu na uongozi wa nchi, ukritu na hali zamaisha ya waislam .Kuikataa bakwata..hawa viongozi hawakuyachulia serious, wala kuona intelligensia ya bure .Mpaka leo, sasa wanapiga bao CCM wamekwenda live ktk uovu na kumtaja mwovu kwa jina, watamshuhulikia kisheria, ingawa sijui km watwalipish makanisa wakati huo huo.waislam wengi watakuwa nafikra mpya juu ya hili wataanza yachukia haya matendo ili diniyao isiitwe ya kihuni, haya mambo yatazimishwa kwa miaka mingi ijayo..mwishowe watapiga bao kwa kurekebisha makosa.

Akina Lisu na wengine walio ktk gereza la hofu ,kwa kauli zao njema ila zilizopata upinzania mkali huko nyuma.Sasa wanakuwa useful ****** na wanawapa uamsho njia mpya ya ku divert attention na mwishowe kuchukua njia inayokubalika bila kuadhibiwa kwani jamii itakuwa namixed views.Lisu kafikia kudai Coptic chistianity ilikuwa miaka 3000 kabla ya Kristu?Yaani Ukristu kabla ya Kristu mwenyewe?
 
Tundu Lisu, ni mwanasheria kwa taaluma, ni mbunge kikazi na ana uanaharakati in background ILA inaonyesha kwenye mjadala huu hajaelewa mswada wa katiba alioupitisha bungeni baada ya kualikwa magogoni AU anakataa kuuelewa kwa maslahi anayojua yeye.

Kujadili Muungano hakujakataliwa bali mjadala uwe ni kwa jinsi gani tuuboreshe na sio kuuvunja.Mara nyingi (past history) hua anamnukuu Mwl Nyerere lkn naona ktk mambo yaliyona maslahi fulanifulani. Nyerere was a Pan-Africanist, i dont think if at all Lisu buys into the idea of Pan-Africanism.
CHONDE-CHONDE TUTUMIE ELIMU NA NAFASI ZETU KUUTUMIKIA UMA NA SIO WATU WACHACHE KWA MASLAHI FULANI FULANI.
mswald, record ya Lissu kuhusu muungano iko very consistent. Ukipata muda angalia HANSARD za bunge. Na siku zote amesema hivi, "Watu waulizwe kama wanautaka muungano au la? na kama wanautaka muungano uwe wa aina gani?"

Na msingi wa hoja ya Lissu unatokana na katiba yetu sasa kwamba mamlaka kuhusu nchi yako mikononi mwa wanachi na viongozi wanapata madaraka toka kwa wananchi (angalia ibara ya 8 (1) (a). Wananchi ndio wanatakiwa waamue namna gani watajitawala. Na huwezi kuongelea mambo ya kujitawala kabla hujamuaa muundo wa nchi. Ni kwanza tuanze na muundo wa nchi then serikali halafu tunamalizia kuunda taasisi zitakazofanya kazi ndani ya serakali.

Sheria ya kutunga katiba mpya na hata kauli ya NEC ya CCM ni kwamba tuwe na serikali mbili. Ni nani amewapa madaraka ya wao kuamua aina ya muundo wa nchi? Wamepata wapi hayo mamalaka ya kusema 'boreshini muungano na sio kuuvunja" wakati wananchi ndio wenye kauli ya mwisho?

Na ni kwa nini hasa wakubwa hawataki wananchi wakaunda upya hii nchi? Kwa nini hawatiki kuacha wananchi wakaamua wao wenyewe bila ya kubwana? Kama hawautaki muungano wakubwa watafanya nini?
 
..kwa experience hii ya miaka 40++ ya muungano, I am against any bilateral agreement[mkataba] btn Tanganyika na Zanzibar in the future.

..tukishavunja muungano na Zanzibar mkataba wowote ule lazima uhusishe nchi nyingine siyo Tanganyika na Zanzibar tu.

..kama wa-zanzibar watataka kushirikiana na sisi wa-Tanganyika basi iwe kupitia jumuiya za EAC au SADC. kinyume na hapo kutazuka "kero za mkataba" zisizokwisha.
 
Umemaliza kila kitu, just tuonane EAC
 
wazenj ni complainants wa kufa mtu...ukikaa nao kwa siku wanalalamika mpaka kwa vitu visivyo na maana.wao ndio victims tuu hata wanpo victimize wengine.
 
Tundu kachemka leo..anataka reduce suala la umasho na udini ana amplify mrengo wa kisiasa.Keshakuwa ktk position ya kuwa useful idiot.

Terrorist huwa wanaanza km useless criminals halafu wanapata majibu kwa jamii kupitia commentator na analysts, then wanapata ujanja wa kujiimarisha..Mfa..mtu anasema kuwa kundi halina support kwa vijana..wanataitafuta. mf. hawa jamaa wanapigania mamabo ya Muungano, wanchoma makanisa mengine ili waonekane kuwa wapigania haki..tayari wamesaidia kukamilisha nia yao ya kuupinga ukristu au hata kuwafanya wakristu kafara....Halafu nasimama useful idiot mwingine...hawa jamaa wana hatari ya kuingia online na hivyo watapata mafanikio ktk kukuza tishio jamaa wanakwenda online na habari yao inaangaliwa kwa vile jamaa wanawatangaza bure...Then jamaa wansema wanweza kuwa affiliated with alqaeda..jamaa wanajaribu pata membership...

Lisu anaiangamiza CDM na kuiinua CCM.makosa haya ni ya CCM na serikali yake, kwani waislam ndio wanongoza nchi, wizara ya ulinzi, polisi, etc wanakwenda misikitini, na hawa msheikh wengine wana mahusiano binfsi na hawa viongozi, hotuba zao za chuki, za kuunganish aukwitu na uongozi wa nchi, ukritu na hali zamaisha ya waislam .Kuikataa bakwata..hawa viongozi hawakuyachulia serious, wala kuona intelligensia ya bure .Mpaka leo, sasa wanapiga bao CCM wamekwenda live ktk uovu na kumtaja mwovu kwa jina, watamshuhulikia kisheria, ingawa sijui km watwalipish makanisa wakati huo huo.waislam wengi watakuwa nafikra mpya juu ya hili wataanza yachukia haya matendo ili diniyao isiitwe ya kihuni, haya mambo yatazimishwa kwa miaka mingi ijayo..mwishowe watapiga bao kwa kurekebisha makosa.

Akina Lisu na wengine walio ktk gereza la hofu ,kwa kauli zao njema ila zilizopata upinzania mkali huko nyuma.Sasa wanakuwa useful ****** na wanawapa uamsho njia mpya ya ku divert attention na mwishowe kuchukua njia inayokubalika bila kuadhibiwa kwani jamii itakuwa namixed views.Lisu kafikia kudai Coptic chistianity ilikuwa miaka 3000 kabla ya Kristu?Yaani Ukristu kabla ya Kristu mwenyewe?

Agreed. Mara nyingi(ne) wanaharakati huwa upande wa mwoneaji, wao huangalia mambo kwa miwani ya apathy.
 
..kwa experience hii ya miaka 40++ ya muungano, I am against any bilateral agreement[mkataba] btn Tanganyika na Zanzibar in the future.

..tukishavunja muungano na Zanzibar mkataba wowote ule lazima uhusishe nchi nyingine siyo Tanganyika na Zanzibar tu.

..kama wa-zanzibar watataka kushirikiana na sisi wa-Tanganyika basi iwe kupitia jumuiya za EAC au SADC. kinyume na hapo kutazuka "kero za mkataba" zisizokwisha.

Execellent analysis and briliant conclusions.

Huu muungano kwa hali ilivyo siku za usoni itakuwa balaa kama hatutaufanyia kazi muda huu.
 
Kuna jamaa hapa kilaza,kaingia kwenye mjadala hana data,halafu ni anajiita mwanasheria,hawa ndio wanasheria uchwara

Yupo huyu kijana wa kituo cha sheria amevaa shati nyeupe na yule mwenye koti la kijani ni vilaza.Huyu mwenye koti la kijani si katoka wap?i anatetea hoja kuwa watanzania wapewa fursa ya kutosha kujadili muungano wakati wamekatazwa kujadili kuwepo au kutokuwepo Muungano. Nafikiri he is one of the gambaz. Camanda Lisu amejitahidi kumwelimisha lakini kichwa kigumu sababu ya kuvaa gamba
 
Agreed. Mara nyingi(ne) wanaharakati huwa upande wa mwoneaji, wao huangalia mambo kwa miwani ya apathy.

yeah..na mara nyingine basi tuu ..nao wana analyst wao ambao huwa wanawasikiliza mara nyingi kiasi cha kujikuta nao wanakuwa influenced nao kwa vile wanafight the common enemy.

Lissu kanionyesha jinis gani hakuna realiable person hasa in African countries.its a matter of time ,kabla balance ya homone haijachange na mtu kujikuta consistency inapotea kwa muda fulani, halafu anakuja shangaa mdhara yake.

I am sure morally, na intentionally alikuwa positive.But he was carried away with what appears to be a common course, bila kujua ni common enemy tuu, na si common course.
 
mswald, record ya Lissu kuhusu muungano iko very consistent. Ukipata muda angalia HANSARD za bunge. Na siku zote amesema hivi, "Watu waulizwe kama wanautaka muungano au la? na kama wanautaka muungano uwe wa aina gani?"

Na msingi wa hoja ya Lissu unatokana na katiba yetu sasa kwamba mamlaka kuhusu nchi yako mikononi mwa wanachi na viongozi wanapata madaraka toka kwa wananchi (angalia ibara ya 8 (1) (a). Wananchi ndio wanatakiwa waamue namna gani watajitawala. Na huwezi kuongelea mambo ya kujitawala kabla hujamuaa muundo wa nchi. Ni kwanza tuanze na muundo wa nchi then serikali halafu tunamalizia kuunda taasisi zitakazofanya kazi ndani ya serakali.

Sheria ya kutunga katiba mpya na hata kauli ya NEC ya CCM ni kwamba tuwe na serikali mbili. Ni nani amewapa madaraka ya wao kuamua aina ya muundo wa nchi? Wamepata wapi hayo mamalaka ya kusema 'boreshini muungano na sio kuuvunja" wakati wananchi ndio wenye kauli ya mwisho?

Na ni kwa nini hasa wakubwa hawataki wananchi wakaunda upya hii nchi? Kwa nini hawatiki kuacha wananchi wakaamua wao wenyewe bila ya kubwana? Kama hawautaki muungano wakubwa watafanya nini?

Hatujakataa kuwa issue zake za Muungano hajabadili njia,ila alipofikia kila ni km mwenye nyundo kila kitu ,hata kifundo cha mtu anakion kama msumari.Sasa anaona uamsho kuwa ni issue ya Muungano.Kwa vile nao huwa wanachanganya na mambo ya muunguano ktk list ya maadui.

But take this scenario. Hawa wajamaa wanataka jiunga na OIC, pengine na ule uamsho wa mombasa.So issue hapa si Muungano.kwani kuna miungano Mingi wanaitaka na kuipenda as long itakuwa na misaada.

Hawa jamaa wazenj wamekuwa wakihubiri live ktk mihadhara,kuhuru mfumo katoliki,Kristu etc na mengine wazi na hdharani kwa miaka kibao,Hadi baada ya kuchoma makanisa na kusikilizia ktk mijadala ndipo wakshauriana na kuona kuwa walikurupuka kabla ya muda. Na walipogundua kuwa timing ni mbaya na inaweza isiwafikishe ktk malengo ndipo wakanyamaza, ila kauli za akina watu km akina Lissu, na wengine walio nje ya CCM na CCM zimewapa option ya ku divert attention.

CCM hawawezi tamka kuwa suala ni Muungano na wala hawakupenda kuliita ni uislam kushambulia ukristu.Sababu ni wazi majibu yote hayana maslahi kwao.Kuhusu Muungano CCM hawataki shikwa ktk suala la wao kukataa mjadala.Na ni gumu Pia kwani kuanzia Polisi, marais, makamu wao, na bureaucracy yote kuutaja uislam ni kujiumiza tena kiimani na kujichora waumini wa dini ambayo ikitajwa tuu watu wanainua kope. So wakakimbilia kupotosha uma na kupunguza makali kwa kauli ambayo ni Mbaya ZAIDI kwa mtu nayeona mbali ..kuwaita wahuni....wanaishi ktk UHUNI.

Mpaka hapa hali ni tete kwa uamsho kupitia CCM, kwani issue ya Muungano si common issue.Ingawa issue ya dini ni common.Ku jaribu wachomoa kupitia UHUNI kumeshtukia na akina Mokiwa na wengine ktk media.So ingawa at this spcific time muungano si kitu number moja,number moja ni everything Islamic OIC, mahakama ya Kadhi , etc,lakini kitu pekee kinachoweza badili mitizamo ili public reaction isiwe kali ni Muungano kwani itakuwa common issue kwa makundi mengi. Na CDM na wengine ambao wamekuwa neutralized na wing ya watu km akina Shivji na kitabu cha Makamba, al nur, na waislam wa bara, viongozi waslam waliopo ktk machinery mzima ya nchi,etc , hakuna aliyekemea right away.By the way it was perfect timing.every propaganda tool is in place na wote wali divert attention.But some minor weather interferance has serve a day for Kafir.

Lissu aliingia line na kusaidia au kuokoa jahazi la hawa terrorists,km useful i.d.i.o.t wengine na si yeye tu wapo wengine hawakuona haya ktk jicho la tishio kwa ukristu hata km wana kumbukumbu za haya matendo kwa muda mrefu.

Sasa ni time kwa CCM kupiga bao kwa walichokipika,kwa kumtaja muovu kwa jina, na kuwatoa kafara wachache.Lissu our hero, itabidi ajutie kwa miakamingi inayokuja...kwani atajikuta ktk hali ya kuchekesha km ya Nyerere, alivyojikuta ktk kupinga sijui ubeberu, ukaburu(apartheid) na colonisation kwa nguvu ya msimamo wake wa kijamaa akajikuta anapigana upande usio...yaani akaona mashariki ya kati km arpatheid.Akajikuta siasa za kutofungamana na upande wowote si absolute bul ni relative, akaside na movement nyingine akavunja Uhusiano na Israel.Kwa mara ya kwanza tukawa mbele zaidi ya Misri, Jordan, etc....nadhani mwalimu kilimuuma baadaye sana ktk maisha yake hata km Ukristu wake ni ule wenye shida na Uyahudi.

These guys own everything to accomplish their goal.Hayo makanisa yaliyochomwa miaka yote yalijengwa?Hizi historia zimeandikwa na watalamu wasio credible(wanoongozwa si kwa taaluma bali kwa misimamo).Siasa za UDSM zilielekea kuzaa vizazi km vya akina Lisu kwa vile wamesoma chini ya Akina Shivji, akina Haroub Othman,type ya akina Mazrui.

They own CCM, they own Yanga, they owned , they own pension funds,they own UDSM, they own Nyerere Kigoda,they own UDOM, they own Shekhe Yahayaand many other group of people you might ask why are they so important in our General community.They may be useful I.D.I.O.T.s, puppets, appeasers, sympathetic etc.

Km utaoan kimakosa angalia kinachomkuta lonely dog Mtikila...yupo ktk mashitaka kwa kumkashifu rais ambaye angeweza msamehe,ila uamsho+wenzao wamechoma makanisa 20+ , wametishia Muugano etc. Bado hawashikiki.
 
Hii imeshakuwa kama Russia na chechynia ni vita tu kwa kwenda mbele hata muungano ukifa watapata lingine kwani lengo kuu ni udini hakika si muungano. Zanzibar nje ya muungano ni safe haven ya ugaidi, Tatizo lililopo hivi sasa duniani kote ni kuwa gaidi kwako wewe kwa mwenzio ni mcha Mungu kwa kuigwa. Baada ya kuvunjwa huu muungano unaopigiwa Kelele hivi sasa waislam wa zanzibar na Tanganyika wao wataendelea na muungano wao ili kuhujumu ukristo hadi pale dini ya allah itakapo tawala na Tanzania kurudishwa tena kama taifa la kiislam. Misuguano haitaisha hadi lengo likamilike hata Kama itachukua karne, kuna wakati Lebanon ilikuwa nchi ya kikristo lakini leo wako chini ya asilimia 40% na wanazidi kupungua, imechukua miaka zaidi ya elfu moja kuifanya misri iliyo kuwa predominantly Christian ibakiwe na 10% tu ya watu ambao ni wakristo. Maandiko yanasema siku za mwisho ni za hatari na kwa ajili ya watakatifu wake bwana zitafupishwa vinginevyo hakuna mwenye uhai ataokoka. Shetani amejawa ghadhabu anajua muda wake uliobaki ni mfupi, watu wakeshe na kuomba dhiki kuu iko mbele yetu
 
Back
Top Bottom