Pamoja na uamsho kufunguka panatakiwa uchunguzi zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pamoja na uamsho kufunguka panatakiwa uchunguzi zaidi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Comi, Jun 17, 2012.

 1. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Taasisi ya kiislam mjini zanzibar
  UAMSHO wamesema kuwa hawawezi kuacha kuzungumzia siasa na sasa hivi wako mbioni kukusanya sahihi ili kuhusiana na kuvunja muungano. Bado kuna mengi yatakayosikika kuhusiana na kiini cha kuanzishwa hiki kikundi.

  Swali ni je taasisi ya kidini inaruhusiwa kujihusisha na siasa? Kama hapana wanapata wapi hicho kiburi?
  Source : mtanzania jumapili
   
 2. l

  lum JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  kwa usilamu dini huwezi kuitafautisha na siasa kwa sababu ni sehemu ya maisha
  UAMSHO hicho kilichoitwa kiburi wanakipata kutoka kwetu WAZANZIBAR ambao tunaiunga mkono kwa wingi mno bila kujali itikadi zetu za kisiasa..hata kama SMT wakilazimisha ifutwe UAMSHO haitaturudisha nyuma hilo kwani hao mashekh ni sehemu dongo tu ya harakati hizi ni zaidi ya kinachoonekana, na ni wimbi la SUNAMI linalouzowa na kuuvunja vunja muungano wa kinafiki wa TZ kwa maslahi ya utaifa wa zanzibar
  ''JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA''
   
 3. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,170
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Umefunguka mpaka upo wazi sasa na kila kitu kina toka na kingia ktk shimo.
   
 4. m

  mob JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,028
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  kimsingi watu wenye madaraka wanasindwa kuelewa kitu kidogo sana kulingana na kikundi hiki cha UAMSHO.hikim kikundi kina agenda yao kuhusu muunganao wapewe fursa ya kusikilizwa ili tuweze kutatua hili tatizo kuliko wengine kuwaita majina mabaya yaliyopo katika jamii yetu.tukifumbia macho haya mabo yatakuja kuwa kama yale ya arusha ambapo tatizo lilikuwa ni mjumbe mmoja kuwa batili likahamia kwenye uchaguzi hatimaye vifo na hatimaye ubunge ni jambioi jema kufanyia kazi hili jambo mapema ili kuondoa matatizo mengine yanayoweza kuibuka huko mbeleni
   
 5. _SiDe_

  _SiDe_ Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: Mar 28, 2007
  Messages: 89
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kuna tetesi ya kuwa Shein anakutana na viongozi wa dini, possibly UAMSHO on Monday
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Zanzibar zaidi ya 98% ni Waislaam, ongea utakavyo ongea ukweli unabaki kuwa hivyo. Watakavyo wao ndivyo itakavyokuwa, kama si leo kesho, hata mfanye mbinu zipi, sana sana mtamwaga damu tu.
   
 7. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hivi hawa wapuuzi bado wapo?
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Savage mediaval thinking..kwa hiyo sisi asilimia 2 ndio tuende wapi? au ndo mtulipishe jizya?
   
 9. m

  mzaire JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  View attachment 56602

  Wee unakurupuka tuuu, ivo huijui Z'bar kuwa uislam ndio Dira maisha yao, hata ukisikia kuna CUF/CCM bado uislam una nafac kubwa ktk maisha yao ya kila cku, sasa ikiwa uislam ndio mfumo mzima wa maisha, sasa Mzanzibari utamwambia nini kuhusu Taasisis ya Uamsho, uislam na Mashekh wao ? Taasisi ambayo angalau imethubutu kuzungumza waziwazi juu ya kuukataa muungano ambao takriban zaid ya 85% ya Wazanzibari wanaukataa ukitoa wale baadhi ya viongozi wa SMZ (CCM na CUF).

  Wazenji kipindi kirefu walikuwa wakitegemea CUF/CCM ili wawatatulie matatizo yao hususan hili la muungano lakni sio CCM/CUF kila mmoja maslahi binafsi, ndio hapo Wazenji wakaitaka Taasisis ya MUAMSHO kuwasimamia ktk kuitafuta Zanzibar yao ilio huru.

  Sasa kama ni kiburi kama alivosema huyo mwandishi kuonesha kuchukizwa na harakat hizo basi UAMSHO wamekipata kutoka kwa wanachi wa Zanzibar na sio pahala wala watu wengine kama tunavyodhani huku Tanganyika.
   
 10. m

  mzaire JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtatafuta pakuenda!!! hapo mnatakiwa muungane na hao wenye 98% ili muepukane na fitna za nje la si hivo mtaumia.
   
Loading...