Recent content by _aysher

  1. _aysher

    JamiiForums Tanzania Wastara arejea, asema fedha za matibabu hazikutosha

    Huyu dada hakuwahi kushukuru jamani kila siku yeye hatosheki tu. Simsemi vibaya lkn anawavunja moyo wanaomsaidia.
  2. _aysher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa: Nimevipata vyote isipokuwa hiki tu

    Ubarikiwe mkuu comment nzuri asipokuelewa hatoelewa tena.
  3. _aysher

    JamiiForums Tanzania Mgeni Jf, naombeni ushirikiano wenu.

    Mmh!!
  4. _aysher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazee wetu walikataza kuoa nyumba hizi

    Familia ya wizi/wadokozi pia sio mahala pa kuoa au kuolewa nayo.
  5. _aysher

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

    [emoji177] [emoji173] santeee honey..
  6. _aysher

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

    Namtakia asubuhi njema kipenzi changu, ndugu yangu, vladimir fsch.
  7. _aysher

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi

    Huku kwema tu mwanza wanasemaje?
  8. _aysher

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi

    Habari za siku mamuuh!?
  9. _aysher

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi

    Karibu sana
  10. _aysher

    JamiiForums Tanzania Uvamizi Hatari wa Kimtandao Duniani: Tishio la Usalama wa Taifa Tuchukue Hatua Haraka

    Microsoft releases urgent OS patch in wake of #WannaCry ransomware blitz
  11. _aysher

    JamiiForums Tanzania Rais wa ufaransa na mkewe

    jamaan!! mbona hamumshangai trump na melania wake?
  12. _aysher

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama mzazi wa Mshana Jr amefariki dunia

    Pole sana mshan jr hiyo ni njia ya wote mungu akupe nguvu na subra katika kipindi hiki kigumu. Sisi sote ni wa mungu na kwake tutarejea.[emoji120]
Back
Top Bottom