Nakumbuka miaka hiyo nipo nafanya harakati za kuripoti chuo baada ya kuhitimu kidato cha sita.Siku hiyo nilikuwa safarini kutokea moja ya wilaya za mkoa wa Morogoro kuelekea yaliko makao makuu ya mkoa .Kama mjuavyo jiografia ya mkoa huo kunauwezekani wa kusafiri kwa masaa zaidi ya 8 ndani ya...
Wakuu salaam natumai mu wazima wa afya njema.Pili hongera na pongezi kwa Watanzania wote kwa hatua ambayo taifa letu limeifikia ya kuwa na uchumi wakati ni jambo la kipekee.
Turudi kwenye maada ndugu zangu miaka kadhaa iliyopita nikiwa katika moja ya taasisi ya elimu ya juu hapa nchini kunasiku...
Nipende kutambua yakuwa uvumbuzi na utanuzi wa teknolojia umekuwa msaada sana hususani katika swala la kimawasiliano .Miaka ya nyuma nakumbuka ilikuwa mbinde sana kumchomoa mtoto wakike kutoka kwenye ngome ya kwao kutokana na ufinyu wa nyenzo za kimawasiliano Vijana hawakubaki nyuma kubuni mbinu...
Wakuu ninze kwa kuwasabahi nyote na matumaini yangu mu wazima wa afya tele.
Nipende kujielekeza kwenye maada moja kwa moja.Binafsi nimekuwa nikijiuliza sana kuwa hivi nini chanzo cha kutoweka kwa mapenzi ya kale kwani kimsingi yalikuwa na changamoto zake lakini pia yalikuwa si pasua kichwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.