Recent content by 8691jakigili

  1. 8691jakigili

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Mapenzi pesa, ufundi nenda VETA.
  2. 8691jakigili

    Rais Trump aendeleza adhabu ya kifo na atakuwa Rais wa Kwanza ndani ya karne moja kuua watu wengi

    Hivi ni Trump anayeuwa au sheria imeamuru hivyo? Kwa hiyo wewe ukiwa rais utaacha kufuata sheria? Kwani rais ndiye aliyetunga sheria hiyo? Watu wenye akili ndogo hujadili watu, wenye akili za wastani hujadili matukio, bali wenye akili nyingi hujadili dhana.
  3. 8691jakigili

    Africa needs a second wave of armed struggle to gain independence from fellow black dictators, murderers, human rights violators and colonialists!

    Baada ya Marekani kupata uhuru July 1776 toka kwa Mwingereza, Wamarekani weusi wakajikuta kumbe uhuru ni wa weupe. Ndipo Henry, Mmarekani Mweusi, mwanaharakati, alitamka maneno hayo hapo juu. Kwa tafsir isiyo rasmi: "Je, uhai ni muhimu sana, au amani ni tamu sana, hata kwa gharama ya minyororo...
  4. 8691jakigili

    Bagonza: Tanzania ina tatizo la mmomonyoko wa Maadili. Watu wanaheshimu matokeo kuliko mchakato uliotumika kupata matokeo husika

    Wanafunzi tunapenda A's badala ya maarifa kichwani! What a tragedy to the nation! Ukipata kazi wazazi wanapenda mafanikio makubwa ndani ya muda mfupi bila kujali kipato cha watoto wao! Immoral people or barbarians!
  5. 8691jakigili

    Ole wenu CHADEMA mkajidanganya

    Maamuzi yanakuwa mepesi iwapo nchi au taasisi inaendeshwa kwa kufuata misingi ya sheria na kanuni walizojiwekea wenyewe. Lakini hilo linaonekana kufutika kutokana na kauli yako mwenyewe: "Kuna watu wazito nyuma ya akina Halima na wenzake." Kama tunavyoshuhudia uvunjifu mkubwa wa katiba na...
  6. 8691jakigili

    Sijasikia Waandishi wa habari wakiwahoji upande wa NEC na Bunge kuhusu Wabunge Viti Maalum wa CHADEMA

    Mnapobaini mmepote porini na Kiongozi Mkuu wa safari hajali kabisa kuangalia ramani yenu (the constitution) au compass ya kuonesha North (sheria na kanuni mbalimbali za nchi) ujue mtasota sana porini, na pengine kuliwa na wanyama au kupotea zaidi. Watunga sheria na watoa maamuzi wetu...
  7. 8691jakigili

    Chama kikiwafukuza Wabunge Viti Maalum CHADEMA itakuwaje?

    Mfalme Sulemani, anayesadikiwa kujaliwa akili nyingi kuliko watawala wote waliowahi kuishi alisema, "Mwenye kutawala akisikiliza uongo; Basi watumishi wake wote watakuwa waovu." Mithali 29:12.
  8. 8691jakigili

    GE2020 Tuliosimamia Uchaguzi tukiri kuwa tumewatendea dhambi Watanzania kwa sababu ya kutii Mamlaka

    Lakini Petro na mitume walipoamuriwa kwa nguvu na baraza (Sanhedrin) wasihubiri tena kwa jina la Yesu walisema, "...Imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu" (Matendo 5:29). Naam, tunaamuriwa kuwatii wenye mamlaka kwa kuzingatia haki ya Mungu, lakini si katika maovu. Maana mwenye mamlaka juu ya...
  9. 8691jakigili

    GE2020 Watumishi wa umma hasa maafisa utumishi, Maafisa watendaji kata na Walimu mtapata laana ya Watanzania uchaguzi huu wa 2020

    Ushahidi kutoka kwa msimamizi mkuu wa kituo fulani (jina linahifadhiwa) anasema, "Nilitafuta makada wa CCM kama mawakala wa vyama vya siasa vingine, maana vyama vingi havikuweka mawakala katika vituo. Kwa hiyo, walioapishwa kama mawakala wa vyama vingine ukiwaondoa wa Chadema, hawakuwa mawakala...
  10. 8691jakigili

    GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

    Wanataka watawale kila kitu chetu, hata maoni yetu! Hawa ni zaidi ya Mungu katika maisha yetu. Mungu ameturuhusu kusema na kuwaza chochote, lakini si serikali hii.
Back
Top Bottom