Tzmzalendo og
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 337
- 135
According to uWezi
Wauaji
Wachawi
Walafi
Wabinafsi
Mafisadi
Waongo
According to uWezi
Wauaji
Wachawi
Walafi
Wabinafsi
Mafisadi
Waongo
Hili bara lina laana siyo bureKwa hii trend inayoshika kasi ya udikteta among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to mention, but a few-Tanzania ikiwa kinara. (ongezea za WestAfrica), ni wazi kwa mwenendo huu kuna civil wars zitaibuka Africa.
Mauaji ya waafrika wenzano, kutoheshimu Katiba za nchi zao, ukandamizaji, kupuuza haki za binadamu etc utafika wakati hayatavumilika. Time will tell!
Dikteta wetu naye yupo njiani anajiandaa kubadili katiba atawale mileleKatika wimbo wake "Making History" mshairi wa dub reggae wa Uingereza, Linton Kwesi Johnson aliimba.
"Dictators get dethroned
New clowns are quickly found".
Hii ni dhana inayojirudia sana Africa.
Mfalme Idris wa Libya aliangushwa na Gaddafi. Gaddafi akajinadi kwamba ni mwanamapinduzi. Akasema haifai kwa kiongozi kuongoza muda mrefu hivyo.
Akaenda kutawala Libya kwa miaka 42.
Misri wamemuondoa Mubarak. Sasa aana Al-Sisi.
Uganda Museveni alianza kama mwanamapinduzi.
Sasa kawa the butt of jokes.
Tutaepukaje historia hii kujirudia tena na tena?
Maana karibu kila mwanasiasa anayetaka ukubwa anajifanya mwanamapunduzi.
Akishaupata anageuza kibao
Hilo la kubadiki katiba ni speculations za watu tu.Dikteta wetu naye yupo njiani anajiandaa kubadili katiba atawale milele
Mpuuzi nini wewe siku ile Ndugai anasema tutamulazimisha ulikuwa bado mdogo?Hilo la kubadiki katiba nibsoeculations za watu tu.
Hata Kikwete walimsema hivi hivi, na sasa kastaafu.
Leteni hoja za msingi, zenye ushahidi, ambazo zipo nyingi tu.
Ukiqnza kuketq hizi habari za "anajiandaa..." bila ushahidi, na wewe unakuwa dikteta.
Una dictate tu mambo bila ushahidi.
Unampa haki na yeye kukufunga kidikteta kwa kusema wewe ulikuwa unajiandaa kumpindua.
Lete hoja zenye ushahidi tuzijadili. Zipo nyingi sana.
Hii habari ya "anajiandaa kubadili katiba atawale milele" ni speculation, si fact.
According to realityAccording to u
Magufuli alishasema hataongeza muda, unataka afanye nini ili ukubali kwamba hataongeza muda?Mpuuzi nini wewe siku ile Ndugai anasema tutamulazimisha ulikuwa bado mdogo?
Patrick Henry once said, "Is life so dear, or peace so sweet, as to be purchased at the price of chains and slavery? Forbid it, Almighty God! I know not what course others may take; but as for me, give me liberty or give me death!"
Sahihisho.Baada ya Marekani kupata uhuru July 1776 toka kwa Mwingereza, Wamarekani weusi wakajikuta kumbe uhuru ni wa weupe. Ndipo Henry, Mmarekani Mweusi, mwanaharakati, alitamka maneno hayo hapo juu.
Kwa tafsir isiyo rasmi: "Je, uhai ni muhimu sana, au amani ni tamu sana, hata kwa gharama ya minyororo na utumwa, Mwenyezi Mungu aepushie mbali! Sijue wengine watachagua lipi, ila kwangu mimi, nipe uhuru ama niue."
Mnamchukia sana uncle, sishangai, all for good, hata Gadaff alichukiwa sana , najua utasema now issue za political vacuum ila binadam huwez mlidhishaMagufuli alishasema hataongeza muda, unataka afanye nini ili ukubali kwamba hataongeza muda?
Na kama hujaweza kumzuia asimpachike kibaraka wake kuendeleza mambo yake, kwa nini kuongeza muda kuwe ni jambo la muhimu?
Suppose you are right and I am wrong, anataka kuongeza muda, ukamzuia.
Hilo linamzuia vipi kumpachika kibaraka wake atakayeendeleza mambo yake, halafu yeye astaafu na kuendesha nchi kwa remote control?
Kwa nini una focus kwenye mtu mmoja badala ya mfumo?
Kwa nini una focus kwenye speculations na mamneno ya Ndugai mchumia tumbo, badala ya facts na maneno ya Magufuli?
Kwa nini unahemuka na mtu mmoja, Magufuli, badala ya kuangalia namna ya kumzuia rais yeyote kutumia madaraka yake vibaya?
Mimi siongelei mtu, naongelea hoja.Mnamchukia sana uncle, sishangai, all for good, hata Gadaff alichukiwa sana , najua utasema now issue za political vacuum ila binadam huwez mlidhisha
😂😂😂🙉🙈 Sikujua uelewa wako n mdogo hivo, kumbe unahisi matumizi ya kuogelea watu, events na ideas ndo Kama hivoo, 😂😂, bro Kama unawasiwasi na mm tukapime IQ😋Mimi siongelei mtu, naongelea hoja.
Siongelei Magufuli.
Naongelea urais.
Small minds discuss people, average minds discuss events, great minds discuss ideas.
Kupima IQ ni habari za kukariri ujinga tu.Sikujua uelewa wako n mdogo hivo, kumbe unahisi matumizi ya kuogelea watu, events na ideas ndo Kama hivoo, , bro Kama unawasiwasi na mm tukapime IQ
Ndugu vitabu vyote hvyo Kama assignment ya sjui wanaosoma art zao huko, at least ingekuwa vinahusu uchumi ningevifuatilia# kuhusu issue ya sjui kuwa na background ya elm flan ya siasa au kupitia vitabu vingiii, that doesn't matter ndo maana Eng mwenzetu ndo anaongoz nchi na sio wenye PhD za political science sjui huko, yeye General studies zake utakuta ilikuwa deferentiation & intergration huko# but mkuu Thanks umenichallenge , nimeapriciate Jf Kuna clitical thinker coz hujanitolea lugha mbaya umenielewesha though mawazo yetu wote yapo biased na itikadi za kisiasa, big up br ( Kama n manz very sorry kwa kukuita br)#Kupima IQ ni habari za kukariri ujinga tu.
Msome Jared Diamond katika "Guns, Germs and Steel: The Fates of Human Societies".
This Pulitzer winning book covered how IQ measurement is a totally arbitrary fabrication.
Soma kitabu, pata elimu, halafu rudi tujadiliane.
Kitabu hujakisoma, hata hujquliziq kinahusu nini.Ndugu vitabu vyote hvyo Kama assignment ya sjui wanaosoma art zao huko, at least ingekuwa vinahusu uchumi ningevifuatilia# kuhusu issue ya sjui kuwa na background ya elm flan ya siasa au kupitia vitabu vingiii, that doesn't matter ndo maana Eng mwenzetu ndo anaongoz nchi na sio wenye PhD za political science sjui huko, yeye General studies zake utakuta ilikuwa deferentiation & intergration huko# but mkuu Thanks umenichallenge , nimeapriciate Jf Kuna clitical thinker coz hujanitolea lugha mbaya umenielewesha though mawazo yetu wote yapo biased na itikadi za kisiasa, big up br ( Kama n manz very sorry kwa kukuita br)#
Bro nna vitabu kibao vya kiuchumi nilivyojipangia kujisomea, siasa n just sehemu ndogo sana, ko na hzo issue za art nyingne out of economics baadae bro nikimaliza yangu, s unajua tunatodautiana interests# mfano Kuna br angu anasoma sana issue za anga na history yeke + science yake, but for my side better nikajifunza kufuga kuku hilo liwe ziada coz n interest tuu, so usione mtu k2 flan upo vzr zaid yake, Kuna Kona bro unaweza kuta hunifikii hata robo, uzur hatujuani ungeona ukwel wa ninayosema#Kitabu hujakisoma, hata hujquliziq kinahusu nini.
Halafu unasema at least ingekuwa kinahusu uchumi ungekifuatilia.
Wewe ni ngumbaru mvivu.
Wewe hata utashi wa kuelewa relevance ya hicho kitabu kwenye mazungumzo haya ni ipi huna.Bro nna vitabu kibao vya kiuchumi nilivyojipangia kujisomea, siasa n just sehemu ndogo sana, ko na hzo issue za art nyingne out of economics baadae bro nikimaliza yangu, s unajua tunatodautiana interests# mfano Kuna br angu anasoma sana issue za anga na history yeke + science yake, but for my side better nikajifunza kufuga kuku hilo liwe ziada coz n interest tuu, so usione mtu k2 flan upo vzr zaid yake, Kuna Kona bro unaweza kuta hunifikii hata robo, uzur hatujuani ungeona ukwel wa ninayosema#
Magufuli alilelewa vipi utotoni ?Afrika haiwezi endelea sababu haina mifumo ya uongozi bora tofauti na wenzetu. Afrika yeyote tu anaweza akawa kiongozi hata muhuni tu anaweza akawa kiongozi. Thus kuna madikteta ( zao la ukosefu wa malezi Bora utotoni).
Udikteta hujengwa utotoni Afrika hawastudy background ya mtu Ili kujua ni mtu wa aina gani,thus hata muhuni anawezakuwa kiongozi. Wenzetu wapo makini na hufanya vetting ya kutosha kujua Hadi jinsi ulivyolelewa. Lengo kuu ni kuepusha watawala wezi, wauaji,waua uchumi,primitive, uncivilized,nk.