Unaleta siasa za maji taka humu wakati maendeleo ndio kipaumbele cha taifa na ustawi wa Taifa letu.mawazo yako ni mgando kabisa mleta uzi tena wewe ni mnafiki na mzandiki mkubwa.kwa hiyo kama kamsifia ulitaka amshike mashati palepale au?ile ni issue ya kitaifa ww umekalia siasa tu.kama unaona...
Kweli kabisa inaboa.kama biashara ya tangazo husika imeshafanyika then tangazo liondolewe kuepusha usumbufu.mimi kuna jamaa alikua anauza kuku nilipomtext akanijibu hovyo kabisa.eti wewe nani wakati biasha kaweka yeye mwenyewe.nilimshambulia kwa matusi ya kasi ya ajabu mpaka akatambua kwamba...
Hujakosea mkuu.hata malaika akitembelea mtu hadai chochote anajiondokea kama alivyokuja.jiule hata rais wa nchi akialikwa na raisi mwenzake garama za usafiri anajigaramia japokua amealikwa.
Mkuu sadaka ni ibada kutoka ndani ya moyo.kwa hiyo inapaswa kutoka moyoni na sio kulazimishwa na porojo kibao zisizokua na tija.sadaka pia ni shukrani na pia kusaidia wasiojiweza.yatupasa kuhakikisha majirani zetu pia wanaishi vema na kuwasaidia kama kristo alivyotufundisha.kule kanisani kwetu...
Hili ni jipu hatari sana kwa ustawi wa kikristo.wanakamua waumini ile mbay bila hata ya kujali vipato vya hao waumini vinatokana na kazi ipi na je kama halali au laa.mimi nataka mtoto wangu abatizwe lakini hiyo michango ambayo nimeshangishwa ni mingi mno.looh mnaatukaanga jamani sisi waamini kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.