Dar hakuna raha yoyote mtu hawezi kujiita tajiri ukaishi hapa sema ni part ya kuijenga nchi ndo maana watu wapo ukianalyse issue usiangalie tu unaish wapi unaspend vp,assume umepata emergency hakuna hosptal ya maana kufika airport utakua ushakufa,wadau kumbuken walivyotangaza cku moja kuwa na...
inaonesha hii nchi ishaanza kua ndogo kila mtu anatafuta pa kutokea,hata zile stori za longi askari kukamata gongo halafu wakainywa na kupeleka maji mahakamani zilikua kweli dahhh.
dahh pole aisee, ila huwezi kumckiliza mtu wa kukutana nae tu halaf mkaenda kufanya biashara kwenye ngazi manake bureu huwa wana office na wanaangalia vitambulisho na wanatoa risiti ambazo zina id reg. ya ktambulisho chako labda kama na ww hizi forex ulipiga sehemu.
me ntamkumbuka kama rais wa awamu ya nne,ofcourse ni mzee wetu na ana ubinadamu sana tatizo ni uoga wa kuyasimamia mambo tuliyomtuma kufanya ilihali tunamgharimia kila kitu kubwa ikiwa ulinzi wa ukweli wake sa cjui uoga unatoka wapi?
we jamaa acha njaa bana we unatumia sh ngap kwenye gari yako?yan elfu tano ndo mpaka jf tujadili,zaidi ya yote wamekwambia kama vipi kaa kwenye folen unajua wafanyakaz weng wa serkali njaa tupu na humu ndo wanatokea,imagine mtu kasimama barabaran pale ubungo jua kali anavuta magari we uko kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.