Rais Kikwete; Watanzania tukukumbuke kwa lipi ulilotufanyia?

Mimi nta mkumbuka kama raisi
aliye shindwa kuongoza nchi, kama wakati anaingia madarakani deni la
taifa ni trillion 5, leo ni trillion21,kama kiwango cha ufaulu kili kuwa
zaidi ya asilimia themanini leo kipo arobaini na, je na wewe
utamkumbuka kwa lipi?

Mi ntamkumbuka kwa yale mabilion yake alotoa kwa majasiriamalh:-D
 
Nitamjenga kwa kuunganisha nchi kwa mtandao wa barabara,kuruhusu watu kua huru kupita kiasi,ujenzi wa chuo kikubwa afrika mashariki,katiba mpya,ujenzi wa mkongo wa taifa.
 
Nitamkumbuka kwa kuteua mabaraza ya mawaziri dhaifu mara kwa mara na tume zisizoleta.
 
Mimi nta mkumbuka kama raisi aliye shindwa kuongoza nchi, kama wakati anaingia madarakani deni la taifa ni trillion 5, leo ni trillion21,kama kiwango cha ufaulu kili kuwa zaidi ya asilimia themanini leo kipo arobaini na, je na wewe utamkumbuka kwa lipi?

ufaulu 40%!?, ina maana wewe div 4 nayo unaiweka kwenye ufaulu?, ufaulu mwaka huu ni <14% hao ndo wana div 1, 2 and 3.
 
Kwa kumjali babu Seya.....
 
Rais aliyevunja rekodi ya kusafiri kuliko marais wote waliopata kutokea hapa ulimwenguni
 
Nitamkumbuka kwa teuzi za watendaji ktk sekta mbalimbali. Ni kama kuteua wasaidizi ndilo jukumu kuu la rais!
 
ATAKUMBUKWA KWA KUWATEUA MARAFIKI ZAKE WASIO NA UWEZO KWENYE CABINET, MAKATIBU WA KUU WA WIZARA RCs, DCs, AMBASSODORS etc NDIO MAANA UMASIKINI UNAONGEZEKA KWANI HAKUNA WASIMAMIZI HAWANA UWEZO. NAYE RAISI MWOGA WA KUKEMEA MARAFIKI ZAKE. MFANO, RAISI ANASHINDWAJE KURUDISHA FEDHA ZA NCHI ZILIZOFICHWA USWISI?
 
rais wa safari aka fastjet rais anaechekacheka misibani rais aliemfunga babu seya bila kosa
 
me ntamkumbuka kama rais wa awamu ya nne,ofcourse ni mzee wetu na ana ubinadamu sana tatizo ni uoga wa kuyasimamia mambo tuliyomtuma kufanya ilihali tunamgharimia kila kitu kubwa ikiwa ulinzi wa ukweli wake sa cjui uoga unatoka wapi?
 
Raisi mwenye watendaji marafiki asioweza kuwakemea,rais asiyejiamini.
 
ufaulu 40%!?, ina maana wewe div 4 nayo unaiweka kwenye ufaulu?, ufaulu mwaka huu ni <14% hao ndo wana div 1, 2 and 3.

kaka waliopata 4 = 26%, zero = 65%, waliopata 1-3 ni less than 9%. Ndo tulipofikia hapa. Mkwe.re in action.
 
Back
Top Bottom