Recent content by 7jero

  1. 7jero

    Ndugu zangu UKIMWI is real

    Umepata ajira kituo cha afya lakini huwezi kufunga huo mdomo wako. Unakoelekea utaanza kuwataja na majina kima wewe.
  2. 7jero

    Nauliza taratibu za kupata kibali cha ujenzi kwa wilaya ya Kibaha

    Anza ujenzi mkuu. Gharama yake inatosha kununua tofali 600
  3. 7jero

    Mdada wa kazi ya Upishi Zanzibar

    Habari zenu ndugu na jamaa katika jukwaa hili Mdada wa kazi anahitajika Bububu, Zanzibar. Majukumu yake: Kupika tu Vigezo: 1. Awe anafaham lugha ya kiingereza. Anaowapikia wanatumia lugha ya kiingereza kama njia pekee ya mawasiliano. 2. Awe mkristu 3. Awe msafi 4. Ajue kupika vyakula mbali...
  4. 7jero

    Hawa madogo wanaoonesha pesa TikTok, pesa hizo wanapata Wapi?

    Madogo wananiliki migodi, nilimcheki mmoja alikuwa anapenda kwenda the cask bar ya mwanza, jamaa alikuwa anamwaga hela stejini siku ya live band. Mtoto mdogo tu. Kuna siku alikuwa anabattle la kununua moet na majamaa ya ggm. Aisee hiyo siku kwa mara ya kwanza nilishangaa vijana wana hela. Moet...
  5. 7jero

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Punguza mambo ya facebook
  6. 7jero

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    WAkuu poleni sana na majukum. Huyu mshikaji niliwasiliana nae, anasema anashindwa kuwapa taarifa ya kuwa hataweza kuendelea na hii story. Anadai ni ya kweli kabisa hivyo baadhi ya watu wanaoifaham familia ya huyo mpemba walifikisha taarifa kwa familia na familia imempiga marufuku kuendelea...
  7. 7jero

    Mwamposa ajenga hotel ya kisasa jijini Mbeya

    Picha ya hiyo hotel tafadhali
  8. 7jero

    Kitambi kinaanzia umri gani?

    Ndo kina nani hao?
  9. 7jero

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Poleni sana wakuu. Ukweli hata mimi nimesikitika baada ya mshikaji wangu kuniambia amepata nafasi lakini hakupata kwa bidii zake bali connection. Tena aliipata paper kama ilivyo, leo ndo kanichana.
  10. 7jero

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Mkuu hujui kuedit comment yako?
  11. 7jero

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    wengine wanasema hiyo paper ilikuwa mseleleko
  12. 7jero

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Pole sana ndugu.
Back
Top Bottom