Recent content by 7ceven

  1. 7

    JamiiForums Tanzania Kosa la Sheikh Faridi ni nini? Ponda ana kosa gani? BAKWATA imefanya nini Kuwatetea so far?

    Wakuu poleni na mapambano na kupambania maslahi ya wengi/taifa. Kuhusiana na uzi huu, nadhani swala la msingi lisiwe kujadili issues based on our religious and/or ethnic backgrounds. Ila iwe on basic human rights, sheria inasemaje juu ya makosa wanayohodhiwa nayo. Utaratibu wa dhamana unasemaje...
  2. 7

    JamiiForums Tanzania Upande wa pili wa sakata la alhaji professor Athman Kapuya

    Janga la kitaifa!!!!
  3. 7

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Ndugu yangu Mtoi, nimesoma kwa makini sana mawazo yako. Nakubaliana nawe kwa karibu juu ya mambo mengi kati ya hayo. Inapendeza sana pale unapotoka nje ya box na kuuona ulimwengu katika rangi zake halisi baada ya kusimuliwa na walioona na kupotoshwa. Ukweli ni kwamba nchi hii itabaki kuwa yetu...
  4. 7

    JamiiForums Tanzania Milioni 300 za mtandao zatumika kummaliza Makongoro Nyerere; kisa...

    Names will keep you free.Open up tuipate hii kwa undani
  5. 7

    JamiiForums Tanzania Prof. Maghembe adhulumiwa mali ya bilioni !

    Mwosha huoshwa!!!!
  6. 7

    JamiiForums Tanzania Masasi wasimamisha zoezi la sensa tangu jana

    Duh! Aisee, Mbesa za walipa kodi hapa zimeungua. Kila kona problems.
  7. 7

    JamiiForums Tanzania A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    Jamani mwanabodi mmjoa atueleze kwa undani halai ya ndugu yetu kwa undani na namana ya kusidia pale itakapolazimu kama ilivyopendekezwa. Nawakilisha
  8. 7

    JamiiForums Tanzania Chadema wananchi wanawaandalia hukumu nzito

    This is a wake up call. Lots of sense hii!
  9. 7

    JamiiForums Tanzania Jamani huyu mnyarwanda naye ni mteule wa Blandina Nyoni!

    Kuwa na damu ya Rwanda sio hoja....wenye damu ya Tanzania kama wale unawajua wewe wametuumiza sana na utanzania wao. :A S 13::A S 13:
  10. 7

    JamiiForums Tanzania Tanzania loses battle over Serengeti road project

    :lock1: Hapa naanza kuelewa ile mamabo inaitwa uhuru wa mahakama. We surely should okoa our ecosystem`s integrity kwa gharama yeyote ile. Yours for a better, greener kesho.
  11. 7

    JamiiForums Tanzania Pinda awasimamisha katibu mkuu wa wizara ya afya na mganga mkuu

    How i like yolur observations.....lol?
  12. 7

    JamiiForums Tanzania Privacy Law: Mwanaasha J. Kikwete kuwashitaki NECTA?

    Huyu ni kilaza tu. Lol....
  13. 7

    JamiiForums Tanzania Pinda awasimamisha katibu mkuu wa wizara ya afya na mganga mkuu

    I dought this. Yeye anawezaje kumsimamisha K/Mkuu?
  14. 7

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe anawashukuru nyote

    Mungu amponye na kumrejeshea afya yake iliyopokwa.
  15. 7

    JamiiForums Tanzania NCCR Mageuzi yamfukuza uanachama Kafulila na wenzake!

    Pole kaka. Rudi nyumbani CHADEMA ule asali na neema za nchi. Jivue gamba, omba msamaha na uonyeshe umebadilika. karibu
Back
Top Bottom