Chadema wananchi wanawaandalia hukumu nzito

hata SATA na OBAMA walitumia mbinu hizo hizo,lakini ukiingia madarakani ndipo utagundua mambo magumu kweli kweli.Kuwa RAIS au kuunda serikali si ishu ya kitoto au mambo ya mzaha,kuna masuala nyeti ambayo yanachangamoto kila siku.Mbwembe za nguvu ya UMMA imewagarimu LIBYA na MISRI hali imekuwa mbaya zaidi.Je na sisi tuige upuuzi huo? tutumie Demokrasia VIZURI bila JAZBA au kudharau manikio yaliyopatikana hata kama ni 1%.Leo hii CHADEMA ina wabunge 48 lakini majimbo ya mfano ni 3 tu toka waanze mbwembwe zao.Tunataka wajikiite kuyaboresha majimbo 45 ili tuwape dhamana na MAJIMBO mengine badala ya kuandamana na kuleta uchochezi kwa SERIKALI ishindwe kutimiza wajibu wao.IPO siku watanzania wataamua kuwapa kura za RAIS lakini si 2015....yaani baadaye sana.CCM bado ina hazina ya VIONGOZI ambao wana PROFILE za kiuongozi unaoheshimu utawala wa sheria.

Hivi CCM, au kuwa CCM ndo unakuwa Mtanzania sahihi? Its seems like watanzania walioko kwenye vyama vyao vingine tofauti na CCM are not Tanzanians? Ebu ondoeni hii wrong notions kwenye vichwa vyenu. CHADEMA, na vyama vingine vya siasa ni vya watanzania tena watanzania makini na wana haki ya kupewa kutwala nchi hii kwa ridhaa ya watanzania wenyewe. Mnaogopa nini nyinyi magamaba? Hii nchi ni yetu sote. CCM haina hati miliki ya nchi hii. Watanzania wote tuna hati miliki ya nchi hii. FUNGUKENI. Think broadly please!!!!!!!. Sasa kama Obama na Sata wameshindwa ndo Vyama vingine tofauti na CCM vitashindwa pia? CCM imeshinda/imeweza nini ambacho ni significant in the last 50 years?
 
I love this...... Huu ni mfupa kwa watu ambao hawajakomaa. Mkuu umeshare kitu ambacho ndicho kimeujaa moyo wangu. Naamini chadema kuna watu wenye nia njema sana na nchi yetu lakini lazima tuJuwe pia wapo watu wanaofikiria kama ccm bado maana ni either walitoka huko au ule ubinafisi na umimi uliojijenga ndani yao baada ya kufunzwa kwa muda mrefu na magamba.

Tumeshuhudia juzijuzi humu JF baada ya baadhi ya wananchadema kondolewa kwenye uafisa pale makao makuu. Wako bize kukichafua chama na viongozi Wake japo wao pia wanakili kuwa viongozi wakuu wanafanya mambo makubwa ya kujitolea.

Ni lazima tujuwe kuwa chadema haitakuwa mtelemko maana ina maadui wengi sana. Kitu kitakachoipeleka mabli chadema ni UADILIFU tu na si kitu kingine. Ukikosekana UADILIFU ndani ya chama basi tutaKuwa kama magamba tu.

Walakini kitu kimoja cha kujivunia baada ya Kuwaondoa magamba,ni kurejeshwa kwa uhuru na nguvu kwa umma. Baada ya hapo wananchi watakuwa na uwezo wa kumwajibisha chama chochote bila tatizo. Leo hii nguvu ya kuwaajibisha Imepolwa Toka kwa wananchi na kuwafanya wanyonge wasiyokuwa na meno ya kufanya chochote.

Tunataka uhuru na nguvu yetu ya kuwawajibisha watawala watakao tenda kinyume na matarajio ya wananchi.
Na hii ndo kazi ya chadema leo hii.

ukikosekana
 
hata SATA na OBAMA walitumia mbinu hizo hizo,lakini ukiingia madarakani ndipo utagundua mambo magumu kweli kweli.Kuwa RAIS au kuunda serikali si ishu ya kitoto au mambo ya mzaha,kuna masuala nyeti ambayo yanachangamoto kila siku.Mbwembe za nguvu ya UMMA imewagarimu LIBYA na MISRI hali imekuwa mbaya zaidi.Je na sisi tuige upuuzi huo? tutumie Demokrasia VIZURI bila JAZBA au kudharau manikio yaliyopatikana hata kama ni 1%.Leo hii CHADEMA ina wabunge 48 lakini majimbo ya mfano ni 3 tu toka waanze mbwembwe zao.Tunataka wajikiite kuyaboresha majimbo 45 ili tuwape dhamana na MAJIMBO mengine badala ya kuandamana na kuleta uchochezi kwa SERIKALI ishindwe kutimiza wajibu wao.IPO siku watanzania wataamua kuwapa kura za RAIS lakini si 2015....yaani baadaye sana.CCM bado ina hazina ya VIONGOZI ambao wana PROFILE za kiuongozi unaoheshimu utawala wa sheria.
CCM wanaitumia vizuri demokrasia?
Elewa kua CCM wana dola/fedha, na usalama. na wanachokifanya ni kulazimisha mambo
na katika hili bado huwez kumshawish mtu mwenye akili kua akae kimya ilhali anaona akiibiwa
hyo haiwezekani. mtu mwenye akili yu tyari kufa akiiokoa haki yake ila sio kuiacha ikapotea eti
kwa sababu ya woga.
 
hata SATA na OBAMA walitumia mbinu hizo hizo,lakini ukiingia madarakani ndipo utagundua mambo magumu kweli kweli.Kuwa RAIS au kuunda serikali si ishu ya kitoto au mambo ya mzaha,kuna masuala nyeti ambayo yanachangamoto kila siku.Mbwembe za nguvu ya UMMA imewagarimu LIBYA na MISRI hali imekuwa mbaya zaidi.Je na sisi tuige upuuzi huo? tutumie Demokrasia VIZURI bila JAZBA au kudharau manikio yaliyopatikana hata kama ni 1%.Leo hii CHADEMA ina wabunge 48 lakini majimbo ya mfano ni 3 tu toka waanze mbwembwe zao.Tunataka wajikiite kuyaboresha majimbo 45 ili tuwape dhamana na MAJIMBO mengine badala ya kuandamana na kuleta uchochezi kwa SERIKALI ishindwe kutimiza wajibu wao.IPO siku watanzania wataamua kuwapa kura za RAIS lakini si 2015....yaani baadaye sana.CCM bado ina hazina ya VIONGOZI ambao wana PROFILE za kiuongozi unaoheshimu utawala wa sheria.

ha ha ha! Kweli we unajifunzia siasa chooni, majimbo 48 ya chadema? Upo nchi gan ww au upo uzini nini?
 
hata SATA na OBAMA walitumia mbinu hizo hizo,lakini ukiingia madarakani ndipo utagundua mambo magumu kweli kweli.Kuwa RAIS au kuunda serikali si ishu ya kitoto au mambo ya mzaha,kuna masuala nyeti ambayo yanachangamoto kila siku.Mbwembe za nguvu ya UMMA imewagarimu LIBYA na MISRI hali imekuwa mbaya zaidi.Je na sisi tuige upuuzi huo? tutumie Demokrasia VIZURI bila JAZBA au kudharau manikio yaliyopatikana hata kama ni 1%.Leo hii CHADEMA ina wabunge 48 lakini majimbo ya mfano ni 3 tu toka waanze mbwembwe zao.Tunataka wajikiite kuyaboresha majimbo 45 ili tuwape dhamana na MAJIMBO mengine badala ya kuandamana na kuleta uchochezi kwa SERIKALI ishindwe kutimiza wajibu wao.IPO siku watanzania wataamua kuwapa kura za RAIS lakini si 2015....yaani baadaye sana.CCM bado ina hazina ya VIONGOZI ambao wana PROFILE za kiuongozi unaoheshimu utawala wa sheria.

Uwazi, ukweli, haki nda watanzania wanataka. ukitwala kwa matakwa ya watu kazi haiwi ngumu.
 
nao wote wenye mwili watauona utawala wa cdm, 2015 si mbali
:lock1:
 
Back
Top Bottom