Recent content by 64-bits

  1. 6

    JamiiForums Tanzania HPRS-AMSAADA

    Thanks
  2. 6

    JamiiForums Tanzania HPRS-AMSAADA

    Msaada,kijana anataka kujisajili huku HPRS ili atume maomba ya kazi,sasa sehemu hii ya mfumo wao haitaki kurespond(hiyo drop down box hairespond chochote) hivyo hawezi kuendelea na usajili,shida ni nini? Hata technical support hawapokei simu
  3. 6

    JamiiForums Tanzania Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

    Kuna mtu amefanikiwa kutuma hadi sasa?
  4. 6

    JamiiForums Tanzania MTUAMBIE

    Kuna yeyote aliekwisha tuma maombi ya PCCB hadi sasa? 😀
  5. 6

    JamiiForums Tanzania PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Tunafanyaje sasa, naona wana wanauchuna
  6. 6

    JamiiForums Tanzania PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Vipi ulipata mzee?
  7. 6

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ndugu zangu kwanini kuomba kuunganishiwa umeme na Tanesco imekua kama hisani hasa kwa chanika ,wananchi wanaomba umeme tangu mwezi June hadi sasa hakuna chochote
  8. 6

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Kwa mwenyelisti ya waliochaguliwa muhas, kcmc au bugando atume tafadhali
  9. 6

    JamiiForums Tanzania Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

    Sichelei kusema huenda ukawa na tatizo kichwani kwa jinsi unavyo waza ingawa pia unao Uhuru wa kuwaza..lakini mawazo huru ya watu hupimwa na watu
  10. 6

    JamiiForums Tanzania CCM itang'oka kwa aibu kama Mugabe

    Sasa ww sindio mjinga zaidi,si ungewaelekeza wakaelewa
  11. 6

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hussein Mwinyi ndie kiongozi mstaarabu kuliko yeyote Tanzania

    Ni mtoto wake
  12. 6

    JamiiForums Tanzania Nape: Siwezi kwenda CHADEMA kumfuata Lowassa niliyemkataa kwa zaidi ya miaka 10!

    Atapata uteuzi sasahivi
  13. 6

    JamiiForums Tanzania Msekwa: Kitendo cha Nyalandu kutia nia kuhamia CHADEMA ni tayari keshajiuzulu, hayo mengine ni mbwembwe

    Rekodi za kipuuzi zina faida gani sasa?
  14. 6

    JamiiForums Tanzania Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

    Akikujibu mkuu please tushirikishane ilo jibu
Back
Top Bottom