Dkt. Hussein Mwinyi ndie kiongozi mstaarabu kuliko yeyote Tanzania

huyu bwana sio kiongozi mzuri hapendi kujichangany na watu W/ulinzi inambeba sana akitupwa kwingine ataumbuka, n muda mwafaka pia mkawamkumbuk vijana wa hayati Jk Nyerere japo mmoja miongon mwao akiwa future president sio mbaya ili kumuenzi mwasisi wa taifa hili,
Mkuu, kwa ustaraabu tu, yupo vizuri.
Lakini bahati mbaya kwake, hatuwezi kuendekeza mambo ya Kenya hapa kwetu. Baba yake alikuwa Rais. Kumpa Hussein ni aina ya usultani!
Wenye sifa wapo wengi tu. Si lazima awe Chama Dola
 
Madaraka Nyerere anafaa, makongoro lilikuwa chaguo langu
 
Namsifu sana huyu waziri asiyependa majivuno, hana vijembe hakika huyu ndiye anastahili kupewa wadhifa mkubwa na kutupeleka inchi ya maziwa na Asari.
Tatizo ni chama kilichomlea na wastaaf wanao mzunguka.
Ila naamini 2025 watampa kupeperusha bendera anafaa
Unanasaba naye au kakutuma...
 
Nam namkubali sana huyu docta. Hana majivuno labda kwa vile kakulia ikulu. Huyu mwingine katembea peku anata wote tuonje shida alizopitia!!
Wewe umekulia wapi kusiko na shida au na wewe ni wale waliokulia shida wasiotufaa. Kama hujakulia shida jitokeza uwe rais wetu siku za baadaye.
 
Namsifu sana huyu waziri asiyependa majivuno, hana vijembe hakika huyu ndiye anastahili kupewa wadhifa mkubwa na kutupeleka inchi ya maziwa na Asali.
Tatizo ni chama kilichomlea na wastaafu wanao mzunguka.
Ila naamini 2025 watampa kupeperusha bendera anafaa
HABARI,
"rutegeramisi gwategera,
Heko kwa kuliona hilo na huyu ni wazi kabisa ndiye raisi mtarajiwa kwa zanzibar baada ya shein na hata kwa tanzania pia ana nafasi kubwa.

LUMUMBA
 
Uko sahihi kabisa alipewa malezi bora na Mzee mwinyi, pia amesimamia wizara nyeti muda mrefu.

Namsif sana huyu waziri asiyependa majivuno, hana vijembe hakika huyu ndiye anastahili kupewa wadhifa mkubwa na kutupeleka inchi ya maziwa na Asali.
Tatizo ni chama kilichomlea na wastaafu wanao mzunguka.
Ila naamini 2025 watampa kupeperusha bendera anafaa
 
Namsifu sana huyu waziri asiyependa majivuno, hana vijembe hakika huyu ndiye anastahili kupewa wadhifa mkubwa na kutupeleka inchi ya maziwa na Asali.
Tatizo ni chama kilichomlea na wastaafu wanao mzunguka.
Ila naamini 2025 watampa kupeperusha bendera anafaa
Huyo atakwenda kugombea na seif 2020
 
Namsifu sana huyu waziri asiyependa majivuno, hana vijembe hakika huyu ndiye anastahili kupewa wadhifa mkubwa na kutupeleka inchi ya maziwa na Asali.
Tatizo ni chama kilichomlea na wastaafu wanao mzunguka.
Ila naamini 2025 watampa kupeperusha bendera anafaa
Hatutaki viongozi wastaarabu. Tunataka viongozi aggressive watakaotufikisha nchi ya ahadi. Nyerere alisema kama unampenda mualike mnye nae kahawa
 
Angekuwa mstaarabu angejiuzulu baada ya mabomu kulipuka mara 2 bila sababu yoyote. Kwa maoni yangu, huyu jamaa 'anafugwa' na system. Sijaona akipewa majukumu ya kuweza kumpima uwezo wake sawa sawa.
we unafikiri Bomu linaweza kuripuka bila sababu!?..na hata kama pana sababu ulitaka afanyeje kuzuwia?
 
Namsifu sana huyu waziri asiyependa majivuno, hana vijembe hakika huyu ndiye anastahili kupewa wadhifa mkubwa na kutupeleka inchi ya maziwa na Asali.
Tatizo ni chama kilichomlea na wastaafu wanao mzunguka.
Ila naamini 2025 watampa kupeperusha bendera anafaa
Huyu dogo mstaarabu sana. Wakati wa bunge huwa tunaswali nae hapa Dodoma msikiti wa Nyerere Square. Jamaa anabusara sana sana. Yeye akishakataa kuswali msikiti wa ghadaffi anakauli yake anasema swala popote. Ila tatizo lichama lake la ccm itamfanya aukose uzima was milele
 
Ameshakuwa waziri wa afya,mambo ya ndani na waziri katika ofisi ya makamu wa rais,hana tatizo lolote labda uwe na sababu zako nyingine.

Hajawahi kuwa Waziri wa Wizara ya Mambo ya ndani

1) Alianza naibu Waziri wa Afya enzi za Mzee Mkapa waziri akiwa Anna Abdalla
2) Akateuliwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ( Muungano) wakati wa JK
3) Akateuliwa Waziri wa Ulinzi
4) Akatuliwa Waziri wa Afya
5) Akarudi tena Ulinzi
6) Awamu ya JPM akabakishwa Ulinzi

Kwa maoni yangu ni kweli ni Kiongozi Mkimya na mstaarabu lakin kwa siasa zetu za wakati huu hafai kuwa Rais kwa kuwa sio Mtu wa kujichanganya na sio Creative kiasi cha kuweza kufanya Maamuzi na kuyasimamia!

Mwigulu Nchemba au Hamis Adrea Kigwangala wanafaa sana kuwa Ma Rais wa awamu ya sita

kwa Maoni yangu Paul Christian Makonda anafaa sana kuwa Waziri Mkuu kwa kuwa hayumbishwi na shutuma, kwenye hilo namfananisha na Hayati Mzee Kawawa alivyokuwa ndio taulo la kufutia Uchafu wa Mwl Nyerere.
 
Namsifu sana huyu waziri asiyependa majivuno, hana vijembe hakika huyu ndiye anastahili kupewa wadhifa mkubwa na kutupeleka inchi ya maziwa na Asali.
Tatizo ni chama kilichomlea na wastaafu wanao mzunguka.
Ila naamini 2025 watampa kupeperusha bendera anafaa
Huyu atamridhi dk shein pale zenji 2020
 
Hajawahi kuwa Waziri wa Wizara ya Mambo ya ndani

1) Alianza naibu Waziri wa Afya enzi za Mzee Mkapa waziri akiwa Anna Abdalla
2) Akateuliwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ( Muungano) wakati wa JK
3) Akateuliwa Waziri wa Ulinzi
4) Akatuliwa Waziri wa Afya
5) Akarudi tena Ulinzi
6) Awamu ya JPM akabakishwa Ulinzi

Kwa maoni yangu ni kweli ni Kiongozi Mkimya na mstaarabu lakin kwa siasa zetu za wakati huu hafai kuwa Rais kwa kuwa sio Mtu wa kujichanganya na sio Creative kiasi cha kuweza kufanya Maamuzi na kuyasimamia!

Mwigulu Nchemba au Hamis Adrea Kigwangala wanafaa sana kuwa Ma Rais wa awamu ya sita

kwa Maoni yangu Paul Christian Makonda anafaa sana kuwa Waziri Mkuu kwa kuwa hayumbishwi na shutuma, kwenye hilo namfananisha na Hayati Mzee Kawawa alivyokuwa ndio taulo la kufutia Uchafu wa Mwl Nyerere.
Dah mkuu. Umeongea vema sana. So DAB ni tambala la JPM kama Kawawa kwa JKN
 
huyu bwana sio kiongozi mzuri hapendi kujichangany na watu W/ulinzi inambeba sana akitupwa kwingine ataumbuka, n muda mwafaka pia mkawamkumbuk vijana wa hayati Jk Nyerere japo mmoja miongon mwao akiwa future president sio mbaya ili kumuenzi mwasisi wa taifa hili,
Kama Nani Vile!?
 
Mkuu, kwa ustaraabu tu, yupo vizuri.
Lakini bahati mbaya kwake, hatuwezi kuendekeza mambo ya Kenya hapa kwetu. Baba yake alikuwa Rais. Kumpa Hussein ni aina ya usultani!
Wenye sifa wapo wengi tu. Si lazima awe Chama Dola
Kama anasifa apewe tu Maji hufuata mkondo mbona Karume amekuwa Raisi na Baba yake alikuwa Raisi.
 
Back
Top Bottom