Recent content by 454

  1. 454

    Ushauri kuhusu biashara ya kuuza vinywaji vya aina zote (Vikali na vya kawaida)

    Kwanza nikupongeze kwa kufikiria na kuamua kujiajiri,rafiki Yangu anafanya biashara hio na niliwahi kumuuliza akanijibu ni biashara nzuri sana ila faida yake ni ndogo sana na inahitaji mtaji mkubwa atlist 20 million.katon1 ya maji ina faida ya sh.200 tu na katon ya soda au juice ina faida hiohio...
  2. 454

    Ndoto:Nimeota Wema anaolewa na Diamond halafu Rais anaenda kuzindua Kitchen Party ya Wema,nini maana yake?

    Tafsiri ya ndoto hiyo ni kuwa wewe utaolewa na Chizi anaeokota makopo
  3. 454

    Waarabu,Wahindi,Wapemba,Wachaga wana siri gani katika biashara?

    Una maneno ya hovyo sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  4. 454

    Waarabu,Wahindi,Wapemba,Wachaga wana siri gani katika biashara?

    Mkuu sijasema kuwa hawafanyi ila ninaeleza hayo makabila yapo juu
  5. 454

    Waarabu,Wahindi,Wapemba,Wachaga wana siri gani katika biashara?

    Nimekuwa najiuliza Mara nyingi inakuwaje wafanya biashara wakubwa katika nchi yetu ni Waarabu na Wahindi Lakini pia Wachaga na Wapemba nao hawapo nyuma katika ujasiriamali.Ukiangalia sekta ya viwanda wanaomiliki ni Wahindi na Waarabu 99% na upande wa maduka makubwa Wachaga na Wapemba...
  6. 454

    Kigogo akisimamishwa kazi huendelea kukaa nyumba ya Serikali na kupata stahiki zingine zote?

    Ninachofahamu Mimi ni kuwa wanapewa muda kama mwezi mmoja au miwili kisha wanaondoka katika nyumba za serikali kwa wale ambao wanafukuzwa kwa mfano Nape,Muhongo na wengine.
  7. 454

    Usafiri wa basi kutoka Dar es Salaam hadi Lilongwe

    Mkuu unaijua vizuri Mno Malawi yaani umeeleza vizuri sana Mi naishi Huku Malawi
  8. 454

    Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    Uninstall app utakuwa umejitoa
  9. 454

    Maisha halisi ya Watanzania waishio hapa Afrika Kusini

    Duuuuh si mchezo umefanya bonge la utafiti
  10. 454

    Jose Mtambo na Jay Mo nani mkali?

    Achana na hizo habari zitakusaidia nini?
  11. 454

    Naibu Spika Tulia Ackson asema Spika Ndugai ni mzima na ana afya tele

    Kama afya yake imeimarika arudi aje asaidie harakati za kuua upinzani
  12. 454

    Vigogo wawili dawa za kulevya kupandishwa kizimbani

    Kuuza Dawa za kulevya ni sawa na kula nyama ya mtu huwezi acha kirahisi
Back
Top Bottom