MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,482
- 20,428
Naibu spika Tulia Ackson amesema spika wa JMT ndugu Job Ndugai ni mzima na ana afya tele.
Hayo ameyasema leo alipofanya mazunguzo na kituo cha redio One. Pia ameomba Watanzania wasiamini taarifa zinazotoka mitandao ya kijamii kabla ya kuthibitishwa na mamlaka husika.