Recent content by 4293

  1. 4293

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Samia kuhusu hali ilivyo sasa baada ya waraka wa wahashamu

    Divide and rule
  2. 4293

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Samia kuhusu hali ilivyo sasa baada ya waraka wa wahashamu

    SA-Samia S-Suluhu HA-Hasan
  3. 4293

    JamiiForums Tanzania Tanga: Afisa wa TRA ajirusha ghorofani na kufariki

    Acha kuspeculate vitu ambavyo havipo.. what if hakuwa na mahusiano mazuri na mzazi wake? Depression inampata yoyote na wakati wowote.
  4. 4293

    JamiiForums Tanzania Tanga: Afisa wa TRA ajirusha ghorofani na kufariki

    Mwezi uloisha alifiwa na baba yake mzazi... akiwa training Tanga hakua na mahudhurio mazuri mpka umauti ulipomkuta.. msikimbilie katika conclusion.. huyo alikua na depression
  5. 4293

    JamiiForums Tanzania Jiji bila timu ya ligi kuu ni kama kuvaa fulana bila bukta

    Mwanza
  6. 4293

    JamiiForums Tanzania Jiji bila timu ya ligi kuu ni kama kuvaa fulana bila bukta

    Arusha
  7. 4293

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabiashara wanakwepa kusajili stoo zao? Taarifa zinasema wamejaza mali za magendo baada ya kuziingiza nchini isivyo halali

    Mfanyabiashara anayo haki ya kuclaim Input tax aliyolipia wakati akifanya importation kama amefanya taxable supplies na amesajiliwa VAT. Sheria inatoa haki kwa pande zote mbili.. ila Wafanyabiashara wengi ni wabinafsi wanataka mapato yote yabaki kwao.. Sheria haimkandamizi mfanyabiashara...
  8. 4293

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera
  9. 4293

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Well barcelona kashinda old trafford mara moja tuu[emoji38]
  10. 4293

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kwa mimi Naona OT ifanyiwe Rebuilding.. option C..
  11. 4293

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hapo utapendekeza option gani za kuiboresha OT
  12. 4293

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Siyo hivyo... mfano usaili una majopo 10... kila jopo lina wanafunzi 20... wanacombine matokeo ya majopo yote na kupanga max kuanzia aliyepata max kubwa kuelekea ndogo (kwenye oral)
  13. 4293

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nimepata ajira ya TRA, Sina connection, sina ndugu anaefanya kazi serikalini, sina ninaemjua utumishi, sikuvujishiwa mtihani, sikujua maswali ya oral.. Nilijiandaa vizuri mengine nikamuachia mungu.. Utumishi Wapo Fair.
Back
Top Bottom