Recent content by 42774277

  1. 42774277

    Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Wayahudi hawakuwa wanahesabu wanawake enzi hizo mpaka kwenye agano jipya hicho kitu kipo. Rejea kisa cha Yesu alipolisha watu 5000 kwa mikate mitano na samaki wawili.
  2. 42774277

    Naomba kufahamu kilipo kiwanda cha maloba(magunia) kwa hapa Dar

    Waungwana habari ya jioni Naomba kufahamu kilipo kiwanda cha haya maloba kwa hapa Dar. Natanguliza shukrani.
  3. 42774277

    Netanyahu, mfano wa mfalme Daudi, ametoka kabila la Yusufu

    Ufunuo wa Yohana 2:9 "Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani." Punguza kusimuliwa mambo jifunze neno la Mungu wewe mwenyewe
  4. 42774277

    Mwanamke: Mtafute mumeo, usikae tu

    Hizi zote ni porojo, Ni Mungu pekee aliyeona hitaji la kuwa na mke au mume. Na ndoa ni takatifu, utakatifu haujawahi kuwa wa mwanadamu. Kama hujamshirikisha Mungu hiyo ndoa utakuja kuandika uzi humu ndani ukiwa huitaki ndoa tena.
  5. 42774277

    Kuogopa kutendwa nimeamua kuoa asiyejua kusoma na kuandika, zaidi ya kuandika jina lake hajui chochote kingine

    Watu wengi mnaoa kwa sababu za kipuuzi ndio maana nyuzi nyingi za kipuuzi kuhusu ndoa zimejaa humu ndani, watu kama nyinyi ndio mwisho wa siku mnakuja kuishia kuwapa vichwa watu wa Kataa Ndoa
  6. 42774277

    Mara ya kwanza kuwaona kunguni kitandani kwangu akili iligoma kukubali!

    Hii maji ya moto infanya kazi 100% kabla hujalala chemsha maji mwaga kuzunguka kitanda chako linamoishia godoro. hatobaki hata mmoja.,
  7. 42774277

    Mara ya kwanza kuwaona kunguni kitandani kwangu akili iligoma kukubali!

    Miaka miwili mnateseka na kunguni,???? Mimi kunguni walinitesa siku moja tu, next day maji ya moto kwenye edge za kitanda yaliwahusu. I five days waliisha wote ila kuanzia hiyo siku ya pili niliyopiga maji nililala kwa amani sana.,
  8. 42774277

    Nahitaji eneo (fenced) au nyumba standalone kwa ajili ya garage.

    Nahitaji eneo la gereji(fenced) au nyumba stand alone. Location ni maeneo ya kuanzia ubungo kuja mjini (ubungo yenyewe, sinza mwenge, mikocheni, magomeni, mabibo, external, n.k.) 0688 758 625
  9. 42774277

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Huyu Sterling hata kama huwa hayuko consinstence ila match ya City alideserve 100% man of the match, Alisumbua sana ile winger ya kushoto, Ilikuwa ni Nightmare kwa Walker na Rodri, Hata alipohamia kulia bado alikiwasha, nayakumbuka matukio mawili, Cross aliyimpa Broja na baadae ikazalisha...
  10. 42774277

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kuwa na adabu man.city alikukanda 3 bila hukuomba hata maji,
Back
Top Bottom