Recent content by 404040

  1. 404040

    Jamani huu ualimu mbona karaha namna hii?

    Kabla hujatafakari jitafakari
  2. 404040

    Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Ila nawasihi watanzania tupunguze miruzi tutafanikiwa, kumtathmini mtu yahitaji muda, na my.rais sifa zimeanza kumlevya binafsi cjapenda majibu yake kwa waandishi wa habari, ni aibu ni aibu no aibu
  3. 404040

    Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

    Tunataka nishati na madini nako kushughulikiwe hali ni mbaya
  4. 404040

    Magufuli bado hajanishawishi

    Wengine wamepandishwa vyeo karibuni tuuu lakini ni hatariiiiiiiiiiiii, wana majumba hayaelezeki
  5. 404040

    Magufuli bado hajanishawishi

    Manake kuna majina yanavuma mbaya kwa utajiri wengine ni wakurugenzi
  6. 404040

    Magufuli bado hajanishawishi

    Hivi kule wizara ya madini mh RAis alishatembelea
  7. 404040

    January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

    Hata mwenda zake na mwenzake walijiita boys 2 men
  8. 404040

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Hivi ile boat ya bagamoyo nauli ni kiasi gani?
  9. 404040

    Sakata la Makontena: Mwigulu, Saada Mkuya, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha wanatakiwa wawe ndani

    Jamani mtu akiharibu aambiwe, akifanya vyema apongezwe
  10. 404040

    NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Kua mdau mkubwa wa nssf bado haijawa hoja ya udini was dr dau. Au ndo mlizoea kupiga mnaona anaziba mianya mnaanza majungu
  11. 404040

    NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Tafakuri makini, nakuusia ndugu yangu fanya kazi ili urithi cheo cha doc dau ili urekebishe hilo tatizo
Back
Top Bottom