Recent content by 3baed

  1. 3baed

    Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Tizeba apelekwa Kilimo na Mifugo

    Kipindi akiwa waziri wa mifugo alikua anavaa kombati za mgambo, sasa kwa namna tunavyomjua sasa hv atavaa mabomu kiunoni,bunduki kubwa afu sitashangaa kama akianza kutembelea kifaru.
  2. 3baed

    Naomba kujuzwa tofauti ya Kampuni Limited na Kampuni ya kawaida

    Naombeni kuelezwa utofauti wa Company Ltd na Company ya kawaida tu. Na je kuna vigezo gani vinahitajika kuanzisha Company ltd na Company ya kawaida
  3. 3baed

    Ripoti ya Mrundikano wa watoto wa vigogo BoT (Benki Kuu) yatua mezani kwa Magufuli

    Hata yeye mbona amegawa madaraka kwa watoto wa kishua, John Mongela ambae ni mkuu wa mkoa wa Mwanza, vipi kuhusu Makonda, sio hisani ile? Hussein Mwinyi, January Makamba
  4. 3baed

    Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

    Inasikitisha sana vijana kutumika kuzima mijadala ya msingi kwa taifa hili, hizi agenda setting zinaletwa ili kuzima mambo ya msingi kwa nchi hii. Leo hii Division 4 ya Jesca imewafanya wengi wasahau swala la Lugumu. Jesca pia amekua maarufu hadi kuzima issue ya uhaba wa sukari. Vijana...
  5. 3baed

    Msaada: Msahara wa mwalimu mwenye shahada ya kwanza

    Hivi mshahara take home ya mwalimu mwenye degree anaeanza kazi ni shillingi ngapi.( Nauliza mshahara baada ya makato)
  6. 3baed

    Hili la kwenda shule na condom na ndizi liko sahihi wanajamvi?

    Ni sawa kabisa, nakumbuka hata sisi tulifundishwa na wazungu flani hivi wa AMREF enzi zile, ila wao walikuja na vifaa vyao
  7. 3baed

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Naomba kuuliza, ni mbegu ipi nzuri zinazotoa tikitiki zenye ubora? Msaada
  8. 3baed

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Ulitumia miezi kama mitatu na kusema umejifungia na kuangalia vigezo vya mawaziri wako watakaoendana na kasi yako,tulikua wagumu kuamini ila mwisho wa siku ukatuletea walevi. Wakati mwingine ninafikiria kua hii ni agenda setting ili kuua na kuipunguzia nguvu kashfa ya Lugumi.
  9. 3baed

    Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa DSM?

    Watanzania bana, kwa hyo kuweka Apple na kuweka ofisi safi ni anasa? Nimeingia ofis za almashauri ya jiji la mwanza hadi nikatoka na harufu ya pale.
  10. 3baed

    Mchina aliyepata "A" tisa NECTA

    Sijaelewa hapo kiini cha thread yako ni ipi! Ni IQ au Sukari au Mchina kuongoza kiswahili!? Au ni tangazo la Magufuli kustopisha sukari kutoka nje!?
  11. 3baed

    Mchina aliyepata "A" tisa NECTA

    Media na waandishi wa habari naona gumzo limekua mchina kushika nafasi ya pili na kupata B ya kiswahili, mbona mshindi wa kwanza hawamzungumzii au kwa kua yeye si mchina!? Ulimbukeni huu jaman,mchina anapewa airtime sana kuliko mtanzania
Back
Top Bottom