Recent content by 36info

  1. 3

    JamiiForums Tanzania Rasmi TRA yatoa tamko kwa Ommy Dimpoz alivyokwepa kodi

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema inaendelea kuchunguza ukwepaji kodi kupitia udanganyifu wa taarifa za magari, ikiwemo aina, modeli, mwaka wa kutengenezwa na thamani ya gari. TRA imesema katika operesheni iliyofanyika Septemba 26, 2026, eneo la Palm Beach Casino, Dar es Salaam, ilibaini...
  2. 3

    JamiiForums Tanzania Mwigizaji Micky Afungua Mashtaka RIB Dhidi ya Wanaovamia Familia Yake

    Mwigizaji mashuhuri wa filamu nchini Rwanda, Micky, ametangaza rasmi kuwa amewasilisha malalamiko ya kisheria katika Bodi ya Upelelezi ya Rwanda (RIB), akituhumu kikundi cha watu kwa kuvuka mipaka na kushambulia familia yake. Kupitia barua rasmi aliyoichapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram...
  3. 3

    JamiiForums Tanzania Mwigizaji ‘Nadia’ wa City Maid, Awataka Wazazi Kuwafunza Watoto Kuchagua Wenza Bora

    Mwigizaji mashuhuri wa filamu nchini Rwanda, Sandra Ishimwe, anayejulikana zaidi kama Nadia katika mfululizo maarufu wa "City Maid," ametoa wito mzito kwa wazazi kuchukua jukumu la kuwafunza watoto wao jinsi ya kufanya maamuzi sahihi wanapochagua watu wa kuingia nao kwenye mahusiano ya...
  4. 3

    JamiiForums Tanzania Ommy Dimpoz afunga comments Instagram

    Mwanamuziki wa Bongofleva, Ommy Dimpoz, 39, amefunga comments katika post zake nyingi kwenye ukurasa wake wa Instagram!. Hiyo inamaana kwamba, hakuna shabiki au mtu yeyote anayeweza kutoa maoni yake kwenye post zake hasa za hivi karibuni. Uamuzi huo umekuja baada Dudu Baya kumtuhumu Ommy...
  5. 3

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Talaka: Titi Brown Asitisha Mipango ya Ndoa

    Mcheza densi na msanii maarufu kutoka Rwanda, Thierry Ishimwe (Titi Brown), ameweka wazi kusitisha kwa muda mipango yake ya kuanzisha familia, akitaja kuongezeka kwa migogoro ya ndoa na changamoto za kisaikolojia zinazowakabili wanandoa wengi katika jamii ya sasa kuwa chanzo kikuu cha uamuzi...
  6. 3

    JamiiForums Tanzania Miss Rwanda: Wanaume wote ni wanyama

    Aliyekuwa mshindi wa pili wa Miss Rwanda 2015, Miss Uwase Raissa Vanessa, ameingia kwenye mzozo mkali na watumiaji wa mitandao ya kijamii baada ya kuchapisha ujumbe kwenye Instagram akidai kuwa wanaume wote ni 'wanyama'. Katika mfululizo wa jumbe alizochapisha, mrembo huyo alionekana...
  7. 3

    JamiiForums Tanzania TFF yaijia juu kampuni ya Sandaland Fashion Wear kwa kutumia nembo yao bila kibali: “Tunataka maelezo”

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesikitishwa na matumizi ya nembo yake kwenye mkutano na waandishi ulioandaliwa na kampuni ya Sandaland Fashion Wear. Tunapenda kusisitiza kuwa TFF haikuwa sehemu, wala kujua kabla maudhui ya Mkutano huo uliofanyika leo jijini Dar es Salaam, na...
  8. 3

    JamiiForums Tanzania Nandy afafanua vazi la Miss Universe baada ya kikao na BASATA

    Mwanamuziki Nandy amevunja ukimya baada ya kukutana na walezi wa sanaa BASATA kufuatia mjadala mkubwa wa vazi alilovaa kwenye fainali za Miss Universe. Nandy amefafanua kuwa hakuwa utupu kama wengi walivyodhani, bali vazi hilo lilitengenezwa kwa kitambaa kinachofanana na rangi ya ngozi yake...
  9. 3

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bi Fatma Karume Afariki dunia, akiwa na umri wa miaka 97

    Mama Fatma Karume, aliyekuwa mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, amefariki dunia leo hii. Taarifa za kifo chake zimefika wakati akiwa nyumbani kwa Mmoja ya watoto wake huko Zanzibar. Mama Fatma Karume alikuwa mjane wa Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa...
  10. 3

    JamiiForums Tanzania Maaskofu TEC msipoteze muda kuwajibu mashekhe ubwabwa waliotumwa bali sisi waislam wenzao tuwajibu

    Asante 🙏 Hili swala la udini limeisha. Tuendelee kujadil mengine
  11. 3

    JamiiForums Tanzania Vumbi likitua iwe marufuku taasisi zisizo za kisiasa kutoa matamko ya kisiasa

    Pia msitumie vitabu vya dini kwenye kuapa
Back
Top Bottom