Recent content by 2nzi

  1. 2nzi

    Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

    Kuwe na mahala pa kusave comments zilizotukosha,Ili inapobidi tuwe tunapitiapitia kujikumbushia tuliyoshauriwa na wadau. Thanks!!
  2. 2nzi

    Mzazi wangu hajaridhika na mchumba wangu, hajasema lakini nimeona ishara

    Pole,Imani yetu Kwa mama zetu ni kubwa sana na Kwa heshima tuliyowapa Huwa tuna Imani kuwa wapo sahihi Kwa Kila watuambiacho bila kukumbuka kuwa nao ni binadamu pia,wana mapungufu Yao.
  3. 2nzi

    Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

    Kazi nzuri
  4. 2nzi

    Huyu mdogo wangu yupo form four, oneni anavyoandika

    Ifike mahala waalimu mtupumzishe,..!! Elimu hupatikana Kwa njia nyingi si Kwa mwalimu tu.
  5. 2nzi

    Happy Birthday Mahondaw

    Amezaiwa nami siku moja,. Hbd date mate Mahondaw
  6. 2nzi

    DOKEZO Responded Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Uvumilivu ni nguzo ya Kila kitu
  7. 2nzi

    DOKEZO Responded Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Y not,.ukinikuta na hii mvua inavyonyesha utanionea huruma.😜
  8. 2nzi

    DOKEZO Responded Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Wakazi wa Msumi tujuane tafadhali! Nimeishi huko mwaka wa 6 Sasa sijawahi jutia,..!! Hivi mlitegemea serikali iweke maji kwenye ngedere,ijenge Barabara pasi watu kuwepo? Punguzeni kukatisha Tamaa watu,Kuna jambo ukiliongelea watu tunajiuliza uwezo wako wa kufikiri. Nimezaliwa kimara,hapakuwa na...
  9. 2nzi

    Je, naweza kuifunga (lock) TV iliyoibiwa?

    Mkuu,..ulifanikiwa kufunga tracker,mrejesho naomba
  10. 2nzi

    Nilijiona ninapitia magumu kumbe kuna watu ni hustlers zaidi yangu

    Hongera kwa kazi na kujituma pia,. Vijana wa namna yako na yake mpo wachache sana. Mwingine angeomba nauli ingekosekana lawama kwa wazazi,vijana wa sasa wanangoja kupewa. Mungu akubariki upate unayoyahitaji.
  11. 2nzi

    Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

    Naomba kueleweshwa,ikiwa deni linasoma ml 5,600,000 Na nikahitaji kulilipa cash yote,je nitalipa na riba au zitaondolewa? Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
  12. 2nzi

    Tabia mbovu

    Pole,.. Jamii forum ina mambo.
Back
Top Bottom