bei ya TV trakcer ni 150,000Mh nasubiria bei
bei ya TV trakcer ni 150,000Mh nasubiria bei
Mkuu tufafanulie hii tracker inafanyaje kazi. ? Tufafanulie zaidi najua utapata wateja wengi sana kupitia huu uziMkuu nilikuwa offline sikuweza kukujibu mapema , Gharama ni 150,000 tu, ni kwa mara moja tu hakuna gharama nyingine
kaka kwema, Umeshapata ufumbuzi wa TV yako. Njoo tukufungia GPS KWENYE TV. Hii gps itakusaidia kuipata tv yako kama imeibiwaNataka kununua nyingine. Lkn nataka kujirishisha kwanza nitumie mbinu gani.. incase wakija tena washindwe
Mkuu tracker ni bei gani?Isije ikawa bei yake inafanana na bei ya kununua TV nyinginekaka kwema, Umeshapata ufumbuzi wa TV yako. Njoo tukufungia GPS KWENYE TV. Hii gps itakusaidia kuipata tv yako kama imeibiwa
Bei ya trakcer ni laki moja na themanini (180,000).inajumuisha pamoja na ufundiMkuu tracker ni bei gani?Isije ikawa bei yake inafanana na bei ya kununua TV nyingine
Hiyo 30,000 ni malipo ya mwezi au mwakaBei ya trakcer ni laki moja na themanini (180,000).inajumuisha pamoja na ufundi
. Inatakiwa usajili laini mpya pia ya simu kwa ahili ya kuweka kwenye hiyo GPS. mwaka wa kwanza hamna charges zozote .Kuanzia mwaka wa pili kutakuwa na gharama ya 30,000 kwa ajili ya App ya simu ya mkononi. Pia utawajibika kurushia salio kwenye line yako ya simu ya mkononi
hii ni kwa ajili ya malipo ya mwaka. Unachotakiwa kwa mteja ni kuhakikisha line ambayo ipo ndani ya gps inakuwa na bando muda woteHiyo 30,000 ni malipo ya mwezi au mwaka
Mkuu,..ulifanikiwa kufunga tracker,mrejesho naombaMkuu tufafanulie hii tracker inafanyaje kazi. ? Tufafanulie zaidi najua utapata wateja wengi sana kupitia huu uzi