Kujiua sio issue wala nini......Maana wazazi wake walikua wa thamani kuliko hata huyo mdada walokutana tu ukubwani.. anyway, kajiua hasara ya nani???Mungu aliesema kwamba umri wa mwanadamu wa kuishi nimiaka 70 akiwa na nguvu miaka 80, je? wewe umekuwa nani unaepingana na Mungu mpk ujiue kabla ya...
hayo ni mawazo ya mtu... wanawake wakichaga wengi wana akili sana ndo mana wanaume ambao HAWAJIAMINI wanawaogopa....Mi ningekuwa mwanaume ningeoa Mchaga
Neema ya Mungu inahitajika hapo.Wewe mama kama Unaipenda ndoa yako usithubu kufanya hivyo ..cha kufanya msihi Mungu aiponye hiyo ndoa yako.Omba sana na soma Neno La Mungu kila siku...Mungu ni wa huruma na mwaminifu,usipozimia moyo...Atakusaidia.
Ni Baba yako mzazi (70-75age), anamtaka housegirl(20-25 age) kimapenzi tena kwa nguvu. Mama yako mzazi(65-68age) yupo; ndg zako wapo na kila mmoja analifahamu hili ila wanaogopa namna ya kumweleza baba.. maana baba ni mkali sana...ungekua wewe ungefanyaje, ungeanzaje kumweleza huyu baba ambae...
sio bure... hawa watu wa pande hizi wana roho ngumu sana, japo SIO wote...... kuua kwao ni jambo la kawaida sana.Ninawafahamu...... Wanapaswa kubadilika!!!hata kabila zingine ni wakatili na wakorofi LAKIN atleast wanakubali kubadilika......
Huyu ndie Yesu mwana wa Mungu aliye hai......!!!!!!lazima tuzisifie kazi zake za kuangusha ngome za ibilisi na sio kuziamsha km mnavyofanya ninyi na hiyo dini yenu.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.