Recent content by JABASmartSolutions

  1. JABASmartSolutions

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi inanifaa nje ya kazi

    A M K TZ biashara ni nyingi unaweza kufnya lakin nakushauri katika nyanja mbili 1. Ujuzi 2. Uuzaji& ununuaji Vyote unaweza kufanya katika muda wako wa ziada na ukapata pesa 1. Ujuzi fanya tathmini una ujuzi gani au hobby au katik mazingira yako ni ujuz gani unaweza kuudevelop kwa namna...
  2. JABASmartSolutions

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza Friji na Freezer kwa bei nafuu

    Kwa bei ya jumla?
  3. JABASmartSolutions

    JamiiForums Tanzania Fundi nzuri WA Samsung JAMAN simu imepasuka na wino umevuja naogopa Hawa chovya chovya

    +255785293677 mchek huyu anaitwa Mr.T yupo kariakoo Last time aliniwekea kioo iPhone 12proMax hakijanisumbua kabsa
  4. JABASmartSolutions

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    App gan ni nzur kwa kudownload muvi za kihindi
  5. JABASmartSolutions

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ______________
  6. JABASmartSolutions

    JamiiForums Tanzania Camera ya cannon type ipi iko vizuri kwa picha?

    Kuna mtu anataka kuniuzia nikon 700D iko complete lens mbili bag cleaning tools 1.3m hii bei ni fair kweli na. Camera katumia 8months . Au Nikanunue k.koo nikon 3300D. Lens moja ile mwisho 55
  7. JABASmartSolutions

    JamiiForums Tanzania Camera ya cannon type ipi iko vizuri kwa picha?

    Uko sawa kabisa
  8. JABASmartSolutions

    JamiiForums Tanzania Camera ya cannon type ipi iko vizuri kwa picha?

    Asnte FRESHMAN kwa msaada wako
  9. JABASmartSolutions

    JamiiForums Tanzania Camera ya cannon type ipi iko vizuri kwa picha?

    Nipo hapa kariakoo bei ya camera nikon 3300 ni 1m bila ya vati...yan sipewi risiti hii itaniadhiri vp mm mnunuaji? Msaada tafadhali
  10. JABASmartSolutions

    JamiiForums Tanzania Camera ya cannon type ipi iko vizuri kwa picha?

    Samahani mkuu unaweza kunipa namba zako ili unifahamishe mambo ya photostudio zaidi
  11. JABASmartSolutions

    JamiiForums Tanzania Camera ya cannon type ipi iko vizuri kwa picha?

    Asante sana kaka kwa mchango wako natumaini utanifaa Je,nikon 3300 itafaa kwa still pictures ?
  12. JABASmartSolutions

    JamiiForums Tanzania Camera ya cannon type ipi iko vizuri kwa picha?

    Photographer ,mjasiriamali
  13. JABASmartSolutions

    JamiiForums Tanzania Camera ya cannon type ipi iko vizuri kwa picha?

    Natak canon rebel t4i
  14. JABASmartSolutions

    JamiiForums Tanzania Camera ya cannon type ipi iko vizuri kwa picha?

    Huu ni msaada mkubwa sana kwangu ,umeniongezea maarifa kweli kweli sasa ninampango wa kununua canon 650D ila ni used .Je,hili swala la used ni sawa?
  15. JABASmartSolutions

    JamiiForums Tanzania Natafuta kliniki ya meno dar

    Namba tafadhali
Back
Top Bottom