Recent content by 255Fixer

  1. 255Fixer

    JamiiForums Tanzania Dilemma: Mke alikiri mtoto wa mwisho si wa mume na kisha akafariki. Mshaurini mume afanyaje baada ya huu usaliti

    Siyo kawaida yangu kuandika kutokana na kuwa bize na moderation Hili suala linagusa sana. Ningekuwa mimi, ningepiga moyo konde na kuendelea kumpokea mtoto huyo kama mwanangu. Hata iweje sitothubutu hata kuwajulisha ndugu wa pande zote. Inakuwa siri baina yangu na marehemu. Kwa ajili ya afya ya...
  2. 255Fixer

    JamiiForums Tanzania Let’s communicate in code.

    -. .. -. .- .-- .- - .- -.- .. .- / ... .- ..-. . / -... .-. --- .-- ... .. -. --. / .--- .- -- .. .. ..-. --- .-. ..- -- ...
  3. 255Fixer

    JamiiForums Tanzania Tovuti ya Tigo Tanzania yadukuliwa, wadukuzi wadai malipo (Ransom) ili waiachie

    Jamaa wanataka kulipwa Bitcoin 300
  4. 255Fixer

    JamiiForums Tanzania MWANZA: Mwandishi wa Mwananchi akamatwa na kushikiliwa na Jeshi la Polisi

    Mwanza. Mwandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) mkoani Mwanza, Jonathan Musa anashikiliwa na polisi kwa mahojiano kuhusiana na taarifa za watu kukamatwa na vichwa vya binadamu zilizozagaa na kuzua taharuki miongoni mwa wakazi wa eneo la Nyakato jijini humo. Kamanda wa...
  5. 255Fixer

    JamiiForums Tanzania Acacia yapunguza wafanyakazi tena

    Dar es Salaam. Kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia, imepunguza wafanyakazi, kwa kile ilichokiita mabadiliko ya kiutawala. Pia imetaja sababu nyingine za kupunguza wafanyakazi kuwa ni katika mpango wa kupunguza gharama wakati huu ambapo serikali imezuia usafirishwaji wa mchanga wa madini. Hii...
  6. 255Fixer

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Tatizo la umeme litamalizika muda mfupi ujao

    Kwa kweli Twiga mzembe ananifanya niwaze kuhusu mabadiliko
  7. 255Fixer

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo [JF Founder] HEARTFELT CONGRATULATIONS to you

    Happy Birthday Maxence
  8. 255Fixer

    JamiiForums Tanzania Mwanachama mpya jaman

    karibu sana mkuu
  9. 255Fixer

    JamiiForums Tanzania Nawapenda

    Karibu sana mkuu
  10. 255Fixer

    JamiiForums Tanzania New comer nduguzanguni

    Karibu mkuu SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo: 1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote. 2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake, au...
  11. 255Fixer

    JamiiForums Tanzania Jf is much far better...I Like to be here !

    Karibu mkuu SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo: 1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote. 2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake, au...
  12. 255Fixer

    JamiiForums Tanzania Makuzi

    Karibu Mkuu SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo: 1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote. 2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake, au...
  13. 255Fixer

    JamiiForums Tanzania hodiiii.......naomba msamaha

    Karibu sana mkuu SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo: 1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote. 2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake...
  14. 255Fixer

    JamiiForums Tanzania Nikaribisheni Msema hovyo

    Asante kwa kujiunga. Tafadhali pitia link hii hapa chini ili kuweza kufaham sheria zinazotulinda hapa JF. https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/61942-jamiiforums-rules.html Xyln.
Back
Top Bottom