Hatari sana...kuna kipindi nilikuwa nahudhuria kanisani kipindi nipo chuo kikuu..Huwa SABATO kunakuwa na ibaada mbili shule ya sabato na ibaada ya mahubiri,nilikuwa nasikiliza shule ya sabato tu kwajili ya visa baadhi na nyimbo za kusifu baada ya hapo nachomoka maana mahubiri mtu anaacha...
Haupo makini kabisa wewe...kuna sehemu nimesema kuna na la maana huwa nalipata,wewe hapo Kanisani kuna la maana unapata.. tatizo mnafungwa mno akili hadi mnakuwa ovyo sasa...muda mwingine fuatilia ata history ya kanisa S.D.A ujue...then ujue pia na civiliazition ngapi zimepita toka mwanadamu...
Mimi nimezaliwa na wazazi wasabato wote Baba na Mama,,nimekulia malezi ya kisabato,nimekuwa mtu mzima najitambua nikajitoa kwenye matrix ya ajabu ya mfumo wa dini zilizoletwa na mijamaa afu yenyewe haina habari kabisa...Dini mmeleetewa mzubae huko mkisubiria baraka na miujiza na matisho kibao...
Asee hutakiwi ata kutumia akili ya juu sana kuelewa hili..ukifa ndio imeisha imefurika hiyo..watabaki n kumbukumbu ukiowaacha tu kuwa ulikuwepo .hakuna maisha ya kitu kimeshakufa ..wake up dude .,[emoji41] mengine haya mnatiana moyo tu na hofu maisha yaendelee...
Aseee hii ishu ya kujichanganya nimejaribu sana pia lkn hakuna kitu wengine tumezakiwa hivo tu ,,toka Niko shule ngazi zote za masomo Nilikuwa nashindwa kabisa najikuta Niko mwenyewe au wawili Tena kawaida sana....Mpka Sasa naishi hivo... back up kubwa ni kuhakikisha ninafanya saving tu ...zaidi...
Huwa watu mnabishana nini hasa madini ni utapeli tu kubali ukatae...hakuna maisha baada ya kifo wewe ni kiumbe hai tu kama viumbe vingine ukifa ni mwisho hapo...
Mengine ni bla bla tu za ajabu...Fungukeni akili wapendwa ...unazaliwa unarisishwa kitu .ingetokea unazaa watoto me na ke uwaweke...
Hata Kwa cm Tor browser (Onion) unaingia vzr sana na upush madeal harama vzr sana ni wewe tu ,uwe na link tu inayokupeleka huko ,kama hutojali nikutumie uone mambo yalivyo...Hii Dunia wengine hawaishi wanadindikiza
Huwezi kumaster Kwa kusoma utube tutorial hizo ama course za vyuo uchwara hapa Bongo....soma nje ya nchi,pia kuwa connected na darkweb...ingekuwa rahisi ningeshare kitu hapa ubakie mdomo wazi jinsi darkweb inavyofanya kazi na the way watu wanavyotumia technology..wanamifumo Hadi ya kubadili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.