Recent content by 1stMay

  1. 1stMay

    Ukimuita Mwanamke kwa namna hii utampagawisha sana

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  2. 1stMay

    Nitasema Ukweli Daima. Aina hii ni Takataka Type ambayo Usijaribu kudate Utaangamia.

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha ubahiri.
  3. 1stMay

    Usicheze na Mwanamke akiamua ameamua

    Mawasiliano ni muhimu katika mahusiano. Pole mwaya, kila kitu kinapangwa na Mungu, huyo hakuwa wako, kuna watu wanawekwa kwenye maisha yetu ili kutufunza vitu mbali mbali. Naamini utakayempata utampenda kupitia mafunzo ulopata katika haya yalopita. Cha msingi muombee kheir, niamini utapata mtu...
  4. 1stMay

    Namna ya kufanya ili uonekane una pesa hata kama huna ili uweze kumvutia mwanamke yeyote

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. 1stMay

    Alivyosikia nimeoa kaanza kunitusi.

    We nae mshamba, utasusaje mtoto wako?
  6. 1stMay

    Je, ni kitu gani ulishawahi jutia kukifanya katika maisha yako ya mapenzi?

    Lakini Buzitata huwa unalalamika. Ndo maana wasichana wanakukimbia[emoji23][emoji23][emoji23]
  7. 1stMay

    MAKALA: Hili la Perfume, Diamond ataandika historia nyingine muhimu kwake

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. 1stMay

    Mapenzi yanauma sana ndugu zangu, kamwe usimcheke mtu kama bado hayajakukuta

    Nameza diclopar na pirton. [emoji23][emoji23]
  9. 1stMay

    Mapenzi yanauma sana ndugu zangu, kamwe usimcheke mtu kama bado hayajakukuta

    I feel you. Huenda huyo mtu hakuona future yoyote kwako, mapenzi hayalazimishwi. Wakati mwingine waoneeni huruma watu wanaowaacha, na wao wanastruggle kuwasahau. Sema hii side huwa hamuioni kwa vile mnakuwa mnaongozwa na lawama. Narudia tena, ni vigumu kuwa na mtu ambaye humpendi. Pole sana weeh.
  10. 1stMay

    Naishi naye ndio, Lakini...

    [emoji3][emoji3] utajifanya hujui... [emoji849]
  11. 1stMay

    Naishi naye ndio, Lakini...

    [emoji23][emoji23][emoji23] yaani alipotea vuup... Huwa najiuliza hadi leo ni nini kilitokea. Afu hatukuwa hata wapenzi labda nimdange, nakumbuka text ya mwisho alinambia anaenda angalia mpira angenitafuta simuni akirudi, dah hakurudi. Nilimpigia simu, text ila waapi. Niliumia sana kumkosa...
  12. 1stMay

    Naishi naye ndio, Lakini...

    Tukiachana, na huo ushauri...jina lako limenikumbusha mtu muhimu sana ambaye tulipotezana ghafla. [emoji22]
  13. 1stMay

    Naishi naye ndio, Lakini...

    One thing for sure, is that I love you and I'll always do.
Back
Top Bottom