MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,454
Huwezi fanywa lolote bali ni maumivu ya wewe kuoa.Huyo ni mwepesi kama pamba.Tulia usimfuatilie ikiwa anahoja ataenda mahakamani au ustawi wa jamii ama kwa wazazi wako.
Endelea kumpotezea hivyo hivyo.Huyo kiburudisho wako mpya tulia naye mwelekeze A to Z na umpange vizuri ili naye akusaidie kusolve inshu.Siku akikupigia simu mlengeshee kwa mkeo amchambue sawasawa kama mkeo muoga tafuta lijimama hata la kukodi ulipe namba limbwatukie hadi ajue kuwa wewe uliyemuoa ni zaidi ya MANGE KIMAMBI.
Acha kulegea ukweli sipendi kutishwa maishani najiamini mno hadi najiogopa mwenyewe maana sipendi kumnyanyasa mwanamke wala nami kunyanyasika wala kuona mwingine ananyanyasika.
Nipe sub hiyo kazi mkuu usipate shida.