Recent content by 1411

  1. 1411

    Napendekeza uzalishwaji wa ‘wall Putty’ za rangi tofauti tofauti ili kuokoa mabilioni kwenye gharama za rangi nje ya nyumba

    Asante sana mkuu. Naona hii option inaweza kunifaa sana. Unaweza ku share ni brand gani ya rangi uliyotumia tafadhali?
  2. 1411

    Msaada: Ni material gani nzuri kwa skimming ya nyumba baada ya kupiga plasta

    Mimi nahitaji pia. Naomba namba. Je ni ya kampuni gani? Maana nimegoogle coral decor vinakuja vitu vingine
  3. 1411

    Napendekeza uzalishwaji wa ‘wall Putty’ za rangi tofauti tofauti ili kuokoa mabilioni kwenye gharama za rangi nje ya nyumba

    Kwani haiwezekani kununua zile rangi za kwenye chupa (za kwenye makopo) kisha ukachanganya? Nimewaza Maana umekuja na wazo zuri kipindi ninachotaka kufanya hizo mambo. Labda ndani naweza kupaka rangi ila kwa nje wazo lako lipo vizuri sana
  4. 1411

    Kama unasumbuliwa na panya pitia hapa

    Nenda kwa wale wauza samaki wa nguru au papa, kuna mmoja ukimuweka tu paka wote wanaondoka
  5. 1411

    Jaribu haya makadilio kwa plumbing system

    Za maji safi ameweka za ½ inch na fittings zake japo socket hajaweka
  6. 1411

    Jaribu haya makadilio kwa plumbing system

    Mkuu mimi fundi ameniandikia PVC pipes, tee, elbow na plug za 1¼ kwa bafuni na vyooni, 1½ kwa jikoni, ni sawa?
  7. 1411

    Microwave oven vs Airfryer ipi Bora kwa kuchoma nyama, kukaanga chips na kupasha chakula

    Ikiandikwa microwave oven inapasha na kuchoma/kuoka
  8. 1411

    UTEUZI: Rais Samia ateua Majaji wa Mahakama Kuu

    Naamini haipaswi kuwa hivi hasa kwa tasnia nyeti kama ya sheria kwa sababu tusipoangalia hili mapema tunaweza kujikuta ni watu wa kutunga sheria na kuzitungua kila mara tofauti na nchi nyingine.
  9. 1411

    UTEUZI: Rais Samia ateua Majaji wa Mahakama Kuu

    Kwa Ukiangalia list ya wateule wote 22 utagundua kwamba zaidi ya asilimia 80 ya wateule wote kwa nafasi za ujaji wametokea mahakama na baadhi kwenye ofisi za wanasheria wa serikali. Lakini mahakama kuu inasikiliza mashauri yenye wigo mpana zaidi mfano land tribunal, commercial, labour, tax...
  10. 1411

    Ufahamu Mmea aina ya Azolla

    Je, ninaweza kuipanda azolla kwenye mabeseni?
  11. 1411

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Natafuta gearbox ya toyota premio 7A engine. Bei tafadhali
  12. 1411

    Miaka mitatu ya jasho kwenye Forex na ukweli mchungu niliojifunza, still 'GAME ON'!

    Mimi nimeinstall MT4, nimefungua demo account naona mapicha picha tu. Mkuu Naantombe Mushi nitafurahi ukitoa darasa kidogo la how to go about
  13. 1411

    Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Inawezekana ni tatizo la ubongo kushindwa kufanya kazi sawasawa, Nitafute, ninayo product inayofanya brain activation.
Back
Top Bottom