Recent content by 123Kape

  1. 123Kape

    Tahadhari Kubwa kwa watu wote

    nyie mazuzu si ni uenyekiti wa kupewa kwa njia ndefu ila ni hongo..
  2. 123Kape

    Nina 10m nahitaji gari Harrier au Xtrail.Niko mwanza

    mimi pia naunga mkono kwa ujuzi na uzoefu sio imani lazima hiyo gari ni kimeo mbaya kabisa old model na ina puti kibao(japo hazioneganagi mpaka uigonge)tunajua huwezi weka picha kwa ajili ya kuficha id yako ila still haitakuwa nzuri na naamini itakusmbua na kama utaona labda haisumbui kwa rate...
  3. 123Kape

    Nina 10m nahitaji gari Harrier au Xtrail.Niko mwanza

    wewe dada unaishi nje ya ukweli afu mjini gafla wewe ndio maana umebuy sound za madalali...unajua hata udalali ni kazi rasmi kwa baadhi ya watu?wanaifanya kwa umakini so play safe...kweli watu wanashida na wanauza magari kwa bei chee na hata hiyo minada kweli ipo ila ni exceptional swali...
  4. 123Kape

    Kwanini Dr. Benson Bana anausifu waraka wa akina Dr. Kitila

    umeandika pumba pumbu wewe
  5. 123Kape

    Tahadhari Kubwa kwa watu wote

    kiongozi wa kitaifa kwako na mkeo sio kwetu wanaume...hatuna kiongozi haini wala mnafiki mpenda hela na muuza utu wake
  6. 123Kape

    Tahadhari Kubwa kwa watu wote

    mimi mbwiga ila wewe kimbwimbwi basi...acha kuweweseka...mnaunda stori nyingi lakini wapi tatizo mna wenge sana ndio maan mnafeli daily....
  7. 123Kape

    Tahadhari Kubwa kwa watu wote

    ndio sisi ni wabaguzi sana kwa wahaini ulitaka tusiwabague wahaini kama ambavyo mmeshindwa kumbagua edward lowasa
  8. 123Kape

    Mipango hatari ya Mwigulu na Emmanuel Nchimbi dhidi ya CHADEMA,wahusika toeni ufafanuzi kuhusu hili

    jamani wamepiga pini hawa wehu...mchemba ni mwehu...hivi unataka kuniambia hawa wakina mchemba ma smart wa chama wa kupewa majukumu mazito hivi mbona wamepewa vilaza....MCHEMBA WEWE NI KILAZA:A S confused: LICHA YA KUWA CHAMA TAWALA,KUWA NA DOLA NA KUTUMIA JESHI LA POLISI NA TISS BADO...
  9. 123Kape

    Mipango hatari ya Mwigulu na Emmanuel Nchimbi dhidi ya CHADEMA,wahusika toeni ufafanuzi kuhusu hili

    piga pini majambazi hawa!!!!!duh kweli jamaa ni wehu sana...na kuna siri zao nyingine mimi nitaziweka hapa...tutahak mpaka simu zenu za toch mwaka huu....
  10. 123Kape

    Maamuzi ya Kawaida alafu unayaita Magumu!

    naona wamehak mtandao kila nikiwajibu hayatokei....ccm wapi nyie...afu wea is lukosi simuoni
  11. 123Kape

    Maamuzi ya Kawaida alafu unayaita Magumu!

    nasema hivi,,,,,ndio ishakuwa mtapiga sana kelele na mkimwingiza papeti mwingine nae tunapiga chini
  12. 123Kape

    Binti Anayedai kubakwa na Kapuya

    ndio mlivyojipanga yaani hata mambo yasiyo ya siasa mnaleta siasa...na nyie ndio mtakuwa mlitengenezaga muundo na utekelezaji mzima wa ile sokomoko ya babu seya nyie....ccm bwana
  13. 123Kape

    TAMKO rasmi la Ndugu Zitto Z. Kabwe kuhusiana na kinachoitwa "Taarifa ya Siri ya CHADEMA"

    failure tena mbaya kabisa kwa bwana mdogo ziito!kwanza angejibu alichotuhumiwa mwanzo kuhusu kuwa yeye ni mnafiki!!hilo hajajibu afu anakuja na stori zake za kipomole hapa!!!!!!!!!!!!!! vipi na ile tarifa ya kuchukua posho PAC nk kakanusha pia? aache kuruka ruka na amalize moja baada ya...
  14. 123Kape

    Watasambaratishwa, watakwisha wote.....

    Acha ufreemasson wewe vichwa vipo chadema acha kujifanya chizi mbona nimeandika kitu rahisi sana tuu...afu pia hata ruco vichwa vipo au umekariri lazima iwe mlimani na mzumbe tuu....au akioza mmoja wote wameoza?wajinga bwana!!!!!!!
  15. 123Kape

    USHAHIDI wa NYARAKA zinazomuhusu Zitto Zuber Kabwe

    Zitto alijua hata hizo nyaraka za kale zimefutika...na zitto amepevuka siku hizi kawa jini nafiki na hivyo amekuwa makini zaidi...ushahidi wa maneno wa joshua nassar wa zitto kudandia vikao huko ughaibuni ili kuzifuata hizo posho unauomgeleaje wewe pomole
Back
Top Bottom