acha kukariri wewe! tatizo la watanzania wengi wala hawajui dunia inakendaje! Tambua hata gari la milioni 200 unaweza linunua kwa milioni 10 ikitegemea muuzaji ana sababu gani za kuuza.Dunia iko hivyo!
Achana na mawazo ya kukariri kwamba vitu vya aghali ndiyo bora au vinginevyo,badilika.Mbona tunanunua kila siku magari ya serikali kwa mnda kwa ts Laki 5 tu wakati thamani ya gari ni milioni 24.
Harrier kwa bei yake halisi ni milini kati ya 17-47 lakini hata ya milioni 20 uanweza pata kwa sh milioni 7 tu.
Jenga utaratibu wa kujitambua.... vinginevyo mtaishi kwa kukariri wenzio tunasonga mbele! nikiweka specification za hili gari wala utachanagnyikiwa.muuzaji amabye ni member hapa aliniomba nisifanye hivyo.
cc
Chisamba RedBacteria