Recent content by 1 to 10

  1. 1 to 10

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wako

    Nenda kapime kwanza pekeako ukishaona uko sawa ndo uende na huyo mamsapu wako
  2. 1 to 10

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kukopesha fedha ndogondogo mtaani

    Unipe ajira tu mi sina mtaji ila nina kauzoefu wa kufanya hizo kazi kwa muda mrefu
  3. 1 to 10

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu matatani baada ya mke wangu kudai nimemdhalilisha

    Acha utumwa na unyonge wa ndoa Mwanaume wewe ishi maisha yako kama hataki kuombwa msamaha aise Unakuwa mtumwa wa mtu kisa unampenda Unakosa amani mpaka unakuja kulialia hapa JF Jua yeye akiwa kazini hakuwaziii wewe tena Pengine amepata sababu na pakuanzia jambo lake
  4. 1 to 10

    JamiiForums Tanzania Je, nimchukie mama au binamu yangu? Nitaanzaje kumuita binamu baba?

    Achana nayo hiyo story yako utatuchosha tu ngoja tuendelee na kombe la Dunia
  5. 1 to 10

    JamiiForums Tanzania Nilivunja urafiki wetu baada ya kauli iliyonidhalilisha na kunikejeli nina sura mbaya

    Lakini vipi sura yako wewe unaionaje maana mara nyingi huwa hatupendi kuambiwa ukweli , Tuanzie hapo kwanza
  6. 1 to 10

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuachana na Single Mother bila kuumiza hisia zake?

    Jichanganye akupige limbwata uwe bwege mtoz3ni
  7. 1 to 10

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kampuni za kubeti zinadhulumu wawekezaji?

    Wakenya achana nao ni walalamishi hata kwa ambayo hayahitaji kulalamika
  8. 1 to 10

    JamiiForums Tanzania Baada ya mke wangu kununua kufuli, nimecheka sana

    Nakuona unavyofuga Mamba kwenye beseni hapo endelea kuacha huo ujinga ukisubiri mkeo aende songea ikitokea jamaa akapiga simu kuwa niko ubungo dar na wewe uko kazini jua kaliwa
  9. 1 to 10

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo tunavocheat, palipo na viatu vya muwewe kuna ndala zangu

    Shenzi mwili wote hebu malizia chapu hamubiko juu Sana hata kama wewe ndo Unaenda jumla huyo recho
  10. 1 to 10

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya kukata viazi vya chipsi

    Kumenya ni kazi Sana kukata hata kama umeangalia pembeni unakata
  11. 1 to 10

    JamiiForums Tanzania Simu zinazodaiwa ni Used kutokea Dubai na Korea ni nzima au tunapigwa?

    Nimenunua redime natamba nayo kitaa haina shida kabisa sema Kila mtu ana bahati yake usikurupukia bahati yangu
  12. 1 to 10

    JamiiForums Tanzania WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Huyo baba alienda kwa huyo mama wa pili na mtaji alioupata kutoka kwa mama wa kwanza ndio ikaanzishwa hiyo investment kwahiyo mi naona wagawane kama watoto na sio kama wawekezaji, Wangekuwa wawekezaji ndio wangesema wafuate percentage Sent from my SM-T225N using JamiiForums mobile app
  13. 1 to 10

    JamiiForums Tanzania Nilikopa milioni 10, siku naona salary slip yanipasa kulipa 24m jicho la upande wa kushoto lilijifunga kama dakika 40 hivi. Nilijua limeparalyse!

    Wakopaji wengi huanza kulalamika baada ua kutatua changamoto zilizokuwa zinakabili mkumbuke hiyo ni kama biashara zinginge na mbaya zaidi hii hiashara i atolewa macho na wengi Kimahesabu iko hivi 24,000,000 -10,000,000=14,000,000faida ikijumlishwa na garama za bima na uendeshaji wa biashara...
  14. 1 to 10

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Si tugawiane haya internet kabla hawajayakata Sent from my SM-T225N using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom