Recent content by 0897

  1. 0897

    Najua wafuasi wa Mangungu hii wataipinga tu

    Badala ya Viongozi wa Upande wa Wanachama kuja na majibu kuwa mchakato unakwama wapi na wanamsaidiaje mwekezaji kumaliza mchakato ili asiendelee kutoa pesa zisizo kwenye makubaliano nao wako busy kushindana naye[emoji1] Simple tu huyo tajiri anayetaka kurithi nafasi ya Mo Dewji ajitokeze...
  2. 0897

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Vp wakuu natgemea kutoka dar to mwanza mwanzoni mwa mwezi wa nane .Aina ya gari ni premio ya cc 1490 inaweza tumia Lita ngapi za petrol kwa root hiyo...
  3. 0897

    Ujanja uliotumika kwa kocha wa Polisi Tanzania ndio utakaotumika kwa Coastal Union (Wanamangushi)

    Aise hii timu ina mbumbubu wengi sana tuishie hpo!
  4. 0897

    Huyu ndiyo Haji Manara El Bugatti mtoto wa comrade Sunday Manara

    Inasikitisha sana kuona mwanaume ana maneno ya tarabu kiasi hiki STUPID!
  5. 0897

    Mshukuru sana Mungu kwa kukupa AFYA, UHAI na UZIMA.

    Asante Mungu kwa pumzii hii
  6. 0897

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    SPORTYBET Kuna shida gani wakuu tangu juzi najaribu Kutoa Hela ziko pending tu aise Kuna alipata hii changamoto pia?
  7. 0897

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo city anaweza acha vilio kwa wakamaria
  8. 0897

    Nimeanza ujenzi, kaa hapa tujenge pamoja

    Hongera sana mkuu umetupa mwanga na sisi ambao Bado tunajifikiria tutaanzaje
  9. 0897

    Zipi changamoto za biashara ya daladala aina ya coaster au hiace?

    Ila wapo wanaotoboa mkuu si wote wanafilisika
  10. 0897

    Zipi changamoto za biashara ya daladala aina ya coaster au hiace?

    Shukran mkuu ntakuchek PM tuongee zaid
  11. 0897

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Nitumie na mm mkuu
  12. 0897

    Msaada: Dawa za typhoid aina ya Cipro

    Mambo vp wakuu natumaini mko vizuri.... Naomba kuuliza mwenye uelewa na hizi dawa za typhoid (Cipro) Naona zinanipeleka Kasi kweli kweli, baada ya vipimo typhoid ilikuwa 160 ila hizi dawa naona kama zinataka kunishinda
  13. 0897

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Mambo vp wakuu..nahitaji kununua eneo maeneo ya kishiri fumagila.. mwenye uziefu na maeneo hayo plz naomba ufanunuz juu ya viwanja vinauzwaje huduma kama maji,umeme, hospital n.k
  14. 0897

    Wana Yanga wenzangu kinachoenda kufanyika Sudan na Al Hilal siyo mpira ni vita!

    Dah huwa naona unajipa moyo na kikosi chako ila hukumbuki kuwa alhilal nao pia wanakikosi kipana tu na hii ndio inawaumiza sana uto baada ya matokeo ya dakik 90 huwa manaumia sana
  15. 0897

    Dalili zinaonesha kuwa Simba hawana malengo na Kombe la CAF

    Nimesoma Uzi wako vizur nikagundua wew ni mmoja wa mashabiki mandazi...kabla ujatiririka na Uzi wa kipuuzi uwe unauliza kwanza
Back
Top Bottom