Recent content by 078341

  1. 0

    JamiiForums Tanzania Temeke, Dar: Ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumlawiti mtoto wa kiume mwenye miaka tisa

    Kosa kubwa wanalofanya watu ni kuchukua hawa watu na kupeleka polisi.mtu ka huyo raia malizaneni nae tu.
  2. 0

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yangu inateketea

    Mwache aende mkuu japo ni ngumu kuhandle hali hiyo. Chukua watoto uishi nao,hapo kwako itakuwa rahisi sana wewe kumsahau yy.halafu pambana kuzisaka kwa namna yoyote ile ili wanao wawe katika furaha tu. Mwanamke akikutamkia hakutaki hilo ni jambo la kushukuru mungu sana tena sana. Naamini kama...
  3. 0

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Oya kuna taarifa gani dhidi ya pan african leo?
  4. 0

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kutatua matatizo bila kumshirikisha mtu?

    Kwanini ukubali kuteswa na mwanamke?
  5. 0

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kisheria kwa Mzazi mwenzangu

    Mkatie mtoto hiyo bima ya afya then nenda shule lipa gharama za mtoto na chukua mawasiliano ya hapo shule,baada ya hapo block namba yake na kila namba atakayotumia ukijua ni yeye wewe ni kublock tu. Kuna wanawake jeuri na wasumbufu nyie hatari.
  6. 0

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu alibadilika baada ya kumfungulia biashara. Nifanye nini kuokoa ndoa yangu?

    Mtihani sana.
  7. 0

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi mke wangu anachepuka

    Hapo hujamuingiza ndani rasmi anakunyima,akiingia ndani rasmi kitakachofuata ni kuchomana moto. Jombaa suala la mapenzi ni lako na mwenza wako.utashauriwa hapa lakini ukija ndani mawazo yanarudi kwako. Za kuambiwa changanya na zako. Ukijua hitaji lako la kuoa ni nini basi jibu utalipata kama...
  8. 0

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Safi sana!!!!
  9. 0

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Adult Talks: Kwa kupitia ndoa yako. Unawashauri vipi ambao hawajaoa?

    Ndoa bhana ni kitu tata sana wakuu!!!!mtu aoe kwa matakwa yake na si kulazimishwa. Mimi nimeishi na mwanamke kwa miaka 8 ila nimemuacha yapata miezi 3 sasa na siku 4.tulibahatika kupata watoto 2(ke/me),ila changamoto mi nilikuwa nazo tangu mwanzo huku mwisho uvumilivu ukanishinda ikanibidi kila...
  10. 0

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mbona mapovu sana wakuu?pweza mbona hajasema anauza?na kama idea mbona katoa kuwa anafanyaje?mlichoshindwa kumuelewa ni nini wakamalia mbona maelezo yake yako clear sana. Sent from my SM-G615F using JamiiForums mobile app
  11. 0

    JamiiForums Tanzania Simba SC vs Yanga SC, Mapinduzi Cup final leo. Simba kuondoka na kikombe

    Kweli aiseee
  12. 0

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco hovyo sana hili shirika
  13. 0

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco hovyo sana hili shirika
Back
Top Bottom