Recent content by 0756590401

  1. 0

    JamiiForums Tanzania Matusi ya mwanasheria mkuu wa serikali kwa mh. Tundu lisu

    Ila ukijua sheria bhanaa, raha xana.
  2. 0

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kumburuta Kinana mahakamani

    Unajua cyo wote wamefurahia ushindi wa LISU,lkn wote wajue kwamba tundu lisu ni mwanasheria makini na anajua sheria...mmesahau ushaidi alioutoa kuhusu uteuzi mbovu wa MAJAJI mwaka jana bungeni? ucchezee huyu jamaa bhana!!!
  3. 0

    JamiiForums Tanzania Wassira: Hatutawaita tena wapinzani Ikulu

    Wasira hujajua tu,ni kwel hutawaita ikulu kwasababu hutakuwepo,labda wapinzani wakuite tu wewe maana wanaichukua muda c mrefu! huna jipya!!
  4. 0

    JamiiForums Tanzania Arusha haina hadhi ya jiji,ifutwe

    Cna la kusema,napita tu!
  5. 0

    JamiiForums Tanzania Nape: CHADEMA wamepewa fedha na wazungu kuvuruga mchakato wa katiba

    Chunga mdomo wako,tumechoka kusikia pumba zako. Hizi zinawafaa wanaCCM wenzako!!
  6. 0

    JamiiForums Tanzania Nape: CHADEMA wamepewa fedha na wazungu kuvuruga mchakato wa katiba

    Ivi ni kwamba ndio kusema huyu nape nauye haoni hata aibu kuongea upuuzi wake mbele ya watanzania? haya!! kama siyo umbeya na unafiki,tuambia hizo fedha zimetoka kwa nani? tafuta hata kichaa tu,anaweza kukushauri kabla ya kuongea! ELIMU HAINA MWISHO.
  7. 0

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mabinti wanabakwa JKT

    Mimba.!! mimba!! mimba!! oyeeee! virusi safiiiiiiii,jkt iyoooo! wahusika lifanyieni kazi haraka.
  8. 0

    JamiiForums Tanzania Uongo wa Pinda unavyoligharimu Taifa

    Sasa huyo naye unamuona ni kiongozi? hakuna jipya
  9. 0

    JamiiForums Tanzania Je Unajua Bunge la Tanzania limejaa Wahalifu wa Kila Namna?

    Hatari sana
  10. 0

    JamiiForums Tanzania Je Unajua Bunge la Tanzania limejaa Wahalifu wa Kila Namna?

    Cjui,niakina nani hao?
  11. 0

    JamiiForums Tanzania Je Unajua Bunge la Tanzania limejaa Wahalifu wa Kila Namna?

    Mimi naona hata tz tuwe na sheria ya kuwaadhibu marais waliofanya makosa ya jinai kama ilivyo misri, najua wengi mtachukia lakini ndio msimamo wangu...ckulazimishi ukubali wazo langu,kwani dawa za kulevya zinazokamatwa zinapelekwa wapi?
  12. 0

    JamiiForums Tanzania Polisi aibuka na gwanda la CHADEMA, Mwangosi Day Nyololo

    Bado kidogo tu,amani ya tz itarudi!
  13. 0

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Dk Slaa Unguja yadoda mno

    Bado,wataelewa tu!
Back
Top Bottom