Tundu Lissu kumburuta Kinana mahakamani

Tundu Lissu kumburuta Kinana mahakamani

Mwalimu wa shelia mh lisu wewe ni jembe.na hubahatishagi wataingia kingi tu viva jembe
 
cmm nchi nzima watauza figo zao mojamoja kulipa hili deni....kudadadadeki....
 
Huyu Kinana ndiye tuliyeaminishwa kuwa ni jembe sasa wapinzani watakoma,hakika sijaona hilo jembe zaidi sana naona mpini tu bila shaka jembe lenyewe lilishajichokea zamani,sijaona alichofanya kinana tangu ashikw huo wadhifa zaidi sana matukio ya hatari na jeshi la polisi kutumika kuitetea CCM.....ss ngoja aburutwe mahamani akome.

Mkuu Sifongo, kama Kinana ndio jembe la CCM sio mpini itakuwaje sasa?
 
Safi sana Lissu wapeleke hao magamba mahakamani watulipe fidia tukawachukulie kata na mitaa kwenye uchaguzi wa sm
 
Angalieni asije akamaliza tembo eote apate pesa ya kwenda kulipa deni.jamani
 
Hivi CCm hawaangalii watu wa Kuwachezea katika Kesi zisizo na kichwa wa miguu,na Mahakama imekewa kimya sana inatakiwa itoe fundisho kwa kesiza kisiasa zinazopoteza muda wa watu.
 
Unajua cyo wote wamefurahia ushindi wa LISU,lkn wote wajue kwamba tundu lisu ni mwanasheria makini na anajua sheria...mmesahau ushaidi alioutoa kuhusu uteuzi mbovu wa MAJAJI mwaka jana bungeni? ucchezee huyu jamaa bhana!!!
 
kwa ki.nana fungua mbili tembo wetu wapate kuishi angalau miezi wili
 
Chonde chonde jamani tusilidai pesa nyingi sana litamaliza tembo wetu ili litulipe.....!!!!!

Hapo umenena maana mimi binafsi simuonei Kinana huruma ila nawasikitikia tembo wetu
 
kamanda Lissu koma nao mpaka kieleweke. haya magamba yanajiona nchi hii nimali yao peke yao yanatumia nguvu nyingi kuliko akili kamanda waadabishe liwe fundisho kwamagaba nawapambe wao chezea Lissu wewe
 
Unajua cyo wote wamefurahia ushindi wa LISU,lkn wote wajue kwamba tundu lisu ni mwanasheria makini na anajua sheria...mmesahau ushaidi alioutoa kuhusu uteuzi mbovu wa MAJAJI mwaka jana bungeni? ucchezee huyu jamaa bhana!!!

Ukweli mtupu umenena!
 
Back
Top Bottom