Kwa kweli hii secretariat inatakiwa Iangalie utaratibu wa kudahil maana utaratibu wa kuitwa watu 1500 kisha mitihani inasahihishwa within 24hr na Majibu yanayoka kwa kweli ni uongo wa Hali ya juu!!! Ndio hapo inapikuja kuwa ni Bahati na Sibu kupata kazi serikalini
Huu ni ujinga siwezi amini emotions zinakivuruga chama, tunashauriwa tusifanye maamuzi wakati tukiwa na hasira.......hii ya Wema na Chadema naona ni mapema sana kuizungumzia,na ninaona kama vile BABA KTK FAMILIA AKIMKEMEA MTOTO BASI MTOTO AWE BA UAMUZI WA KUHAMIA KWA JIRANI THIS IS REAL NONE SENSE
MTU ikiwa una utajili kisha roho yako ni ya kimaskini basi wewe Utakuwa ni maskini Wa kutupwa....ila kuna watu watafaidika na roho yako ya kimaskini..tutabaki tukiimbiwa nchi tajiri lakini hatua za kuonyesha huo utajili hakuna mfano mikataba ya Madini ambayo ipo ovyo ovyo iangaliwe upya,kufanya...
Kiuhalisia ukinyimwa kupaza sauti,ukinyimwa kupanda jukwaani ........nani atakusikia? Ukitumia kalamu ni shida pia kwa Sasa hakuna upinzani tena.
Si tu naona hata waliojiuzulu kipindi cha mapambano wanarudi tena kwa wao ulinzi Upo hadi ofisini tutakuvunjia kufuli kuingia......mtwara...
Kwa ufupi watanzania wengi tuna nidhamu ya woga na tunakabidhiwa madaraka na hatujiamini katika madaraka tunayopewa,na wengi wetu tumepewa ajira kwa mlango Wa Nyuma hivyo hatujui tulifanyalo ktk utekelezaji Wa majukumu ya kila siku.
Dar es salaam na Arusha yote haya ni majiji nashangaa Dar ukionekana na Pikipiki ni kukamatwa more especially maeneo ya Mjini lakini kwa Arusha vijana wanaongezewa Pikipiki.
Kwa kweli huu mchezo hauhitaji hasira.
Kuna vitu vya kujiuliza tuache masiasa Sasa hivi kunaushindani mkubwa Wa maradio na matv naona kuna siasa za kijanja aidha kwa kutumia Mkuu mkoa kujitangazisha Ama wote wawili wanatumiana.
Kasi za kutatua matatizo ya wananchi ndio tunataka kuziona
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.