Recent content by 010101

  1. 010101

    Ilikuwaje ukaacha kabisa kuwa unaenda Kwenye nyumba Za Ibada?

    Dhambi ndo hukata hamu ya kwenda kanisani Jitu lina piga punyeto , Jitu lina tembea na mwanamke asiye mke wake atakuwa na hata hamu ya ku-download app ya biblia kwenye simu yake?
  2. 010101

    FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023

    Kuna yule alitabiri Yanga itafungwa , hv ni nani
  3. 010101

    Somalia wapiga marufuku Sambusa

    Source : https://www.foxnews.com/world/somali-extremist-group-bans-samosas-in-country
  4. 010101

    Somalia wapiga marufuku Sambusa

    Kwani mada inaongelea nn? Mbona unashindwa kujitambua
  5. 010101

    Somalia wapiga marufuku Sambusa

    Hili ndo tatizo la kutopenda hesabu za maumbo
  6. 010101

    Somalia wapiga marufuku Sambusa

    Bro, kisa sambusa?
  7. 010101

    Somalia wapiga marufuku Sambusa

    Al Shabab wamepiga marufuku kutengeneza na kula sambusa - Somalia. Hii ni kutokana ina shape ya pembe tatu, yaani ni kiwakilishi cha Ukristo (Utatu Mtakatifu/Trinity) Hichi kitu kimenishangaza kwa nini kisibadilishwe umbo la duara au mstatili, badala ya kuwanyima watu kitafunwa wanachokipenda...
  8. 010101

    Tunashukuru uliweka kifo

    Kifo sio ibada , huu ni ujinga uliofundishwa na mjinga asiejua kusoma na kuandika Mbaya zaidi huyo mjinga aliekufundisha njia ya kwenda, alisema hajui anapokwenda na atakachokutana nacho muda kidogo kabla ya kufa
  9. 010101

    Mchungaji Matsai: Mtume alipandishwa hadi mbingu ya 7 akapewa Swala 50 lakini Wakati anashuka zikapungua na kubaki 5 za sasa!

    We ni muumini wa Law of Evolution? Kuwa ng'ombe anaweza akabadilika kuwa paka , nyani akawa mtu
  10. 010101

    Tunashukuru uliweka kifo

    Inamana we hautakufa? Ni wenye mamlaka tu , ndo hufa Kuti bichi , linacheka kuti kavu lilivyoanguka(halijui na hilo litapitia) Mi nazani ungefurahia kifo chako, kiwe ndo njia ya kukupeleka mbinguni kupumzika(kama umjiandaa) But upo unafurahia baba kafa, ili urithi mali
  11. 010101

    Tecno pouvoir 3 air haipanishi mnara.

    Weka Airplane mode , alafu toa Ikisumbua tena ,zima simu , toa line , alafu rudisha line na uweke Airplane mode na utoe Itasoma Pouvoir zina tatizo hilo
  12. 010101

    Nape: Watanzania kuanza kukopeshwa Smartphone

    Tatizo halikua kwa muda mrefu , wafanyabiashara wenyewe washindane kwenye bei
Back
Top Bottom