Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Dikoda ya Canal+ HD used miezi 4 inauzwa Ipo katika hali nzuri Ligi zinazooneshwa na dikoda hii ni pamoja na, EPL, Serie A, La Liga, Uefa Champions League, Uefa Europa League, Ligue 1. Malipo ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NYUMBA inapatikana KITUNDA, magole 8km kutoka nyerere road (banana) Nyumba ina vyumba vitatu, sebule na jiko. Eneo la kiwanja ni sqm 400 (20*20) Huduma ya maji na umeme inapatikana Bei: 15m
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nauza laptop lenovo mpyaaa kabisa imetumika mwezi mmoja tu nje. RAM 4GB HDD 1TB PRICE 500,000 LOCATION: DAR Karibuni.
0 Reactions
1 Replies
776 Views
Nauza trekta massey ferguson Model 290 Hp 80 2WD Bei mil 23 Ni used limetoka nje ya nchi, halijafanya kazi nchini
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tunapenda Sanaa kuwa karbisha AmuzZ Bar And CarWash.. Tupo Moshi maeneo ya #ShantyTown #KisinanRoad aka #BishopStephanoRD Huduma yetu ni nzuri.. Kuna bar kwa ajili ya vyinwaji, Kuna pool table...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Ninauza Sato na Sangara wabichi kutoka Ziwa Victoria,kwa yeyote anaehitaji jumla na rejareja . *Bei ya Jumla Sato 9500/= per Kg na Sangara 7000/= per kg. *Bei za rejareja Sato 10,000/= na Sangar...
4 Reactions
33 Replies
8K Views
Habari Wakuu! Mkononi mwangu ninao Investors Wazungu ambao wapo interesting kuwekeza kwenye Kampuni ndogo na za size ya kati hasa za Ujenzi.. Masharti yao makubwa ni Kampuni Hizo ziwe na Miradi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu husika na kichwa hapo juu na hitaji shamba la kukodi hekari mbili. Sifa Liwe Dodoma mpwapwa au kongwa. Linafikika kiurahisi ukiwa umetokea Dodoma mjini Liwe na rutuba ya mahindi...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Hp Complete Desktop Co i3 Ram 4Gb Hdd 500Gb Processor Co i3 3.2ghz 64-bit Dell monitor 17 inch Keyboard,mouse,VGA na Power cables Very good Condition Bei = 320000 tuu Call 0688115546 Location...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Nyumba inapatikana wilaya ya Ilala. Nyumba ina vyumba vitatu, sebule, jiko. Eneo la kiwanja ni sqm 400 (20*20) Huduma za kijamii zinapatikana (maji, umeme na barabara) Umbali kutoka msongola...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, kwa wazoefu wa mji wa Arusha naomba mnisaidie kujua ntapata wapi chumba cha kupanga na bei ya kodi inaanzia kiasi gani? Ofisi yangu ipo maeneo ya karibu na kiwanja cha ndege...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
hellow every one out there our due deligence and compliances based in environments is to carry out environmental roles, we are the consultant of environments licensed by NEMC, Please dear all we...
0 Reactions
1 Replies
569 Views
Wabari wadau natafuta miti ya matunda inayozaa kwa muda mfupi
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Kama unajipenda na kujithamini,utakuwa unaelewa umuhimu wa kutumia vipodozi vyenye ubora na uhakika. Kuna kitu kipya kwa wengi mimi nimetumia na kushuhudia Maajabu yake maana nilihangaika huku na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Toyota RAV 4 ya mwaka 1995 inauzwa, milango mitano Engine capacity ni 1998, imetembea KM 160296. Bei ni Shilingi Milioni sita na laki tano tu (6,500,000/=) . Ipo Dar-Es-Salaam. Kwa maelezo zaidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi Natafuta stylus pen ya Microsoft surface pro 3. Mwenye nayo au anaejua vinauzwa wapi Kwa hapa Dar naomba msaada. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
0 Reactions
2 Replies
902 Views
acer ASPRIRE one used lakini haina tatizo lolote na haijawahi mwona fundi na ipo kwenye good condition RAM 2GB Processor AMD C- 50 Battery 3hrs - 5hrs Portable Bei ni 300k fixed Location; MWANZA...
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Natafuta mtaalam/mganga wa ukweli. Kwa yeyote ambaye amewahi kupata huduma kwa mtaalamu na akamfanikishia, tafadhari ni PM unisaidie maelekezo ya alipo huyo mtaalamu. Sihitaji wahubiri hapa, hata...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Energizer betri ni betri zenye nguvu Namba moja Tanzania,zipo za saizi mbalimbali kwa matumizi tofauti tofauti. Zimetengenezwa kwa Teknolojia ya hali ya juu zinauwezo mkubwa wa kudumu kuliko betri...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Mwenye uhitaji wa iPhone 6 with 32gb only one moth used kwa sh 400000 anione charger pamoja na earphone utapewa nicheki kwa 0655704333 dar
0 Reactions
1 Replies
862 Views
Back
Top Bottom