MITI YA MATUNDA YA KISASA

SIR CAPTAIN

SIR CAPTAIN

Member
Joined
Aug 9, 2019
Messages
16
Points
45
SIR CAPTAIN

SIR CAPTAIN

Member
Joined Aug 9, 2019
16 45
Wabari wadau natafuta miti ya matunda inayozaa kwa muda mfupi
 
Mr.genius

Mr.genius

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
1,045
Points
2,000
Mr.genius

Mr.genius

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2012
1,045 2,000
Unataka miti ya matunda gani? Na uko wapi? (mkoa)
 
SIR CAPTAIN

SIR CAPTAIN

Member
Joined
Aug 9, 2019
Messages
16
Points
45
SIR CAPTAIN

SIR CAPTAIN

Member
Joined Aug 9, 2019
16 45
Aina tofauti tofauti ya matunda kama mapera nakadhalika

Rukwa na daressalam
 
Blank page

Blank page

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Messages
4,129
Points
2,000
Blank page

Blank page

JF-Expert Member
Joined May 28, 2015
4,129 2,000
Karibu SUA upate embe, chungwa na parachichi pia papai kwa BEI nzuri.
 
Sita Sita

Sita Sita

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2008
Messages
1,210
Points
1,225
Sita Sita

Sita Sita

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2008
1,210 1,225
mimi nahitaji miche ya ndimu au malimao
nipo Dar
 
MOMPRENEUR

MOMPRENEUR

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2016
Messages
259
Points
225
MOMPRENEUR

MOMPRENEUR

JF-Expert Member
Joined Jun 18, 2016
259 225
*ryzer agro products*
*ni wazalishaji wa miche aina zote za matunda,maua pamoja na miti ya mbao na urembo...*

Karibu sana kwetu ujipatie miche ya matunda ya muda mfupi.Tuna miche ifuatayo:-
Nazi miaka mitatu tsh.7000
Zaituni miaka miwili tsh.5000
Ndizi miezi 7 tsh.3500
Fenesi,korosho miaka miwili tsh.3000

Pia tuna *miembe*michungwa*,pera,parachichi,limao,ndimu,chenza,mbilimbi,*topetope,stafeli,cocoa( huzaa ndani ya miaka miwili) kwa tsh.2500
*Strawberry* mwezi mmoja kwa tsh.2500
Tunapatikana Sua morogoro na tunatuma popote Tanzania.Malipo ni baada ya kupokea mzigo wako.
Ukihitaji tuwasiliane namba *0653405342*.
*Nyote mnakaribishwa*
 

Forum statistics

Threads 1,336,211
Members 512,562
Posts 32,530,791
Top