Kontelo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 571
- 161
Habari zenu wakuu, kwa wazoefu wa mji wa Arusha naomba mnisaidie kujua ntapata wapi chumba cha kupanga na bei ya kodi inaanzia kiasi gani? Ofisi yangu ipo maeneo ya karibu na kiwanja cha ndege Kisongo, ni maeneo ya TGT. Ningependa kupata chumba maeneo ya karibu na hapo au hata maeneo ya Sakina. Je gharama ya kodi ya chumba ni kiasi gani maana nategemea kuamia uko mwishoni mwaka huu.
Natanguliza shukrani zangu za dhati ktk ilo.
Natanguliza shukrani zangu za dhati ktk ilo.