Sabufa ya maana mziki mnene, kama unapenda mziki mnene chukua huu. Ni 450,000 tu. Tupigie 0658 18 47 97 tukuletee BURE kwa Dar na mkoani tunatuma bure
Ina sehem ya memory card
Sehemu ya flash
AUX...
Wakuu nauza shamba langu sababu nipo mbali nashindwa kulisimamia. Lipo Mbarali Mbeya. Nimeanza ujenzi wa nyumba ya msimamizi, ipo kiunoni.
Shamba ni hilo lenye vidotidoti. ahivyo vidoti ni...
Natafuta Nyumba ya kupanga,iwe na Vyumba 3 ,.Maeneo iwe Njia ya Goba kutoka Mbezi mpaka Masana au kutoka Goba Senta mpaka .Mwisho wa Daraja Mwelekeo Makongo,Offer yangu 200,000/= kwa Mwezi
Karibu...
iphone 6s
colour space grey
condition mpya sana
internal 16Gb
location DSM
price: 540k
cm haina dent unaweza irudsha kwa box ukauza kama mpyaa
nipigie kwa
0766807166
Bajeti laki 2 kwa zote, Au kwa elfu 60 kwa mpesa na airtel money, na halopesa kwa 50. nakaribisha pia mapatano
sim card ziwe na documents zote.
pm au tuma email kwa Sirngonyani@gmail.Com
Logo for company, business, brands etc. Website , Graphics and Advertisements, business cards. Please check Us.
elyabdin@gmail.com
bibou.01@hotmail.com
Modem mpya used for 2 months inatumia laini zote bei 20k
Laptop old, inashida keyboard na betry, kioo, hard disk na screen viko poa bei 10000
Location Morogoro mjini
Kareem Designs, Sasa Inakuletea Huduma Mpya Kabisa ya Kufanyiwa Design ya Bus Zako Kwa Muonekano wa Ndani, Huduma Hii Mpya Haijawahi Kutokea Hapa Tanzania ni Utaipata Kutoka KAREEM DESIGNS Pekee...
Helo..urgent...namuomba mtu anayejua mtu anayepika keki nzuri SANA standard haswa za harusi nimpe dili. Sample ya Muundo wa keki Inavyotakiwa iwe ipo.
location ni arusha.
Come PM if this...
habari wadau.
nauza mashine ya kufua.. aina ya von hotpoint.. size 15kg kwa laki 6..
size kubwa inafua mablanket, mapazia makubwa bila shida..
inafaa sana kwa watu wenye familia kubwa, wenye...
Kiwanja kina Hati, ukubwa sqm 1828, Kibada block 23 -Kigamboni. Kinafaa kwa shughuli ya biashara, makazi n.k.
Bei ni 110 M. Maelewano yapo. Mawasiliano 0713629999
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.