Hahah. Hayo maeneo walilipwa hela enzi za JK kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege. Unataka kuwapiga watu mkuu.NYUMBA inapatikana KITUNDA, magole
8km kutoka nyerere road (banana)
Nyumba ina vyumba vitatu, sebule na jiko.
Eneo la kiwanja ni sqm 400 (20*20)
Huduma ya maji na umeme inapatikana
Bei: 15m
Mawasiliano: 0785 857564
View attachment 1209846View attachment 1209847View attachment 1209848View attachment 1209849View attachment 1209850
Mkuu angalia! Wewe ni dalali tu. Usitetee mambo ya ndani usiyoyajua. Fanya research kwanza.Nadhan umechanganya, eneo la uwanja wa ndege ni kipunguni karibu na banana.
Nyumba ipo KITUNDA kwa mbele (magole)
Ooh ok hapo sawaJirani na Nyumba ilipo Mimi ndio ninapoishi.
Siwezi kutanganza biashara nisiyokua na uhakika nayo.
unaijua magole wewe au unaleta ujuaji usio na tija?Hahah. Hayo maeneo walilipwa hela enzi za JK kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege. Unataka kuwapiga watu mkuu.
Nyumba kwa milioni 15 nadhani unauziwa kiwanja.Piga picha vizuri nyumba ionekane yote