Kwa mwenye gari ambayo hatumii aniuzie kwa makubaliano ya malipo ya kila mwezi

PMWAKA

Senior Member
Aug 29, 2019
191
206
Hello Habari Wakuu.

Nahitaji mtu ambae ana gari yake ndogo ndogo mfamo Vitz, IST, wish, spacial nk namba C ambayo amepaki tu nyumbani haitumii aweze kuniuzia kwa makubaliano ya malipo kila mwezi.

Nina uwezo wa kulipa laki 4 kila mwezi kwa miezi tutayokubaliana kutokana na bei ya gari utayoniuzia.

Unaweza kuja DM au email jben20097@yahoo.com

Hii ni kwa wale pia ambao wanaweza kukubali option tangu ya payments.

Shukrani.
 
Sio wewe?
Hili lakwangu siuzi....teh
tapatalk_1562647940254.jpeg
 
Actually yes anakua kama amenikopesha na Yeye anabaki na documents zake, nikimaliza kulipa kwa hiyo miezi tulokubaliana ndo anaipa documents.
Anakuwa kama amekukopesha ukikuuzia hivyo italeta usumbifu sana sana
 
Nipo Dar es salaam wakuu, so ukiwa unaishi dsm pia itakua vizuri zaidi wakuu, pia hata mikoa ya karibu pia it's fine.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom