Nauza nissan xtrail bei rahisi

Nauza nissan xtrail bei rahisi

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
Gari iko kwenye hali nzuri
Haidaiwi wala haijawahi kupigwa rangi
Automatic gear
4wd
Petrol engine
Bei ni mil6, maongezi kidogo yapo
Njoo 0763969066 tuzungumze
Gari iko dar kigamboni
IMG_20190420_095729.jpg
IMG_20190420_095729.jpg
IMG_20190420_095720.jpg
IMG_20190420_095642.jpg
IMG_20190420_095629.jpg
IMG_20190420_095550.jpg
IMG_20190420_095535.jpg
IMG_20190420_095344.jpg
IMG_20190420_095318.jpg
IMG_20190420_095301.jpg
 
Oh vizuri...... Sasa funguo thread yako ujitangaze unaziuza mpya kwa hiyo bei
 
Gari iko kwenye hali nzuri
Haidaiwi wala haijawahi kupigwa rangi
Automatic gear
4wd
Petrol engine
Bei ni mil6, maongezi kidogo yapo
Njoo 0763969066 tuzungumze
Gari iko dar kigamboniView attachment 1081752View attachment 1081752View attachment 1081753View attachment 1081754View attachment 1081757View attachment 1081759View attachment 1081762View attachment 1081764View attachment 1081766View attachment 1081768
Ilaya ukitaka kununua gari lazima uangalie imetengenezwa mwaka gani plus vigezo vyako vingine, lakini bongo, unaambiwa ina hali nzuri.
Bora la mwaka jana lisilo kwenye hali nzuri kuliko la 2005 lililo kwenye hali nzuri
 
Mkuu ushauri wangu ni nenda kaoshe engine hio ili iwe kwenye muonekano mzuri..maana ni chafu sana pia weka cover za chini ya engine ili iache kua inachafuka...
 
na wewe umekaliaga kuagiza kuagiza. Si uende ukaagize ya kwako utembelee, muache jamaa auze gari yake hapa jf. Tatizo liko wapi? unafanya vibaya sana ku-discourage watu kwenye kila uzi unaouza magari humu jf. Kila mtu akiagiza gari Japan hawa watamuuzia nani?
.
Kama huhitaji/hujalipenda gari husika si unyamaze. Ujuaji ukizidi sana wakati mwingine unaonekana *MPUMB...AVU*
Be positive mkuu.
Kazi yangu mimi ni kutoa taarifa sahihi kwa wakati. Nothing personal
 
Ila Watanzania tuna kauzembe na kaujinga.
Gari ikishatumika miaka zaidi ya 5 Tz hutakiwi inunua hata kwa nusu bei bora uvute waya ije kwa meli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom