Natafuta shamba la kupanda Pine trees

THE SEAL

JF-Expert Member
Jul 29, 2019
927
1,269
Habari za wana JF,

Mimi natafuta shamba la kupanda miti aina ya Pine, for export. Natafuta kuanzia 100,000 hectares and above. Nitashukuru nikipata msaada haswa nikipata sehemu za Iringa, lakini mahali popote pale PINE trees zinawezeka kukua.

Nashukuru na nitashukuru kwa msaada wa aina yeyote, asanteni sana.
 
Habari za wana JF,
Mimi natafuta shamba la kupanda miti aina ya PINE for export. Natafuta kuanzia 100,000 hectares and above. Nitashukuru nikipata msaada haswa nikipata sehemu za Iringa, lakini mahali popote pale PINE trees zinawezeka kukua.

Nashukuru na nitashukuru kwa msaada wa aina yeyote, asanteni sana.
Kama upo serious eneo hilo litapatikana mkuu. Mkoa wa Njombe vijiji vya tarafa ya Lupembe, ni eneo ambalo miti inastawi vizuri sana kulinganisha na maeneo mengine ya Iringa na Njombe. Kwa kias cha eka 100, tunaweza kupata hata kwa elfu 90 kila eka. Karibu.
 
Kautapeli. Serikali haiwezi kukupa hizo hekta. Aliyekuwa nazo nyingi tz alikuwa Dewji ila washamtoa kama 12000ha
 
Kautapeli. Serikali haiwezi kukupa hizo hekta. Aliyekuwa nazo nyingi tz alikuwa Dewji ila washamtoa kama 12000ha
nani ameongea kuhusu serikali, wewe ulienda shule mkuu, soma tena
 
Kama upo serious eneo hilo litapatikana mkuu. Mkoa wa Njombe vijiji vya tarafa ya Lupembe, ni eneo ambalo miti inastawi vizuri sana kulinganisha na maeneo mengine ya Iringa na Njombe. Kwa kias cha eka 100, tunaweza kupata hata kwa elfu 90 kila eka. Karibu.
swali ni hatuwezi pata hizo 100,000 zikiwa pamoja, maana kaa ni ekari 100 hapa, zingine 100 kijijini kingine hivyo hivyo, sioni kaa hio ni hali poa maana managment and aslo excution and planning itakuwa changamoto,hela sio tatizo 90 elfu kila ekari ni poa kabisa,nitashukuru ukinipa taarifa zaidi mkuu
 
Mashamba yanaweza kupatikana mkuu maeneo ya wilaya ya KILOLO huku IRINGA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom