Natafuta Friji bajeti 250,000

Busekela

Member
Mar 7, 2018
97
67
Ndugu wanajukwaa,natafuta friji ya kununua ambayo Ina sehemu ya freezer,iwe kwenye hali nzuri bajeti 250,000/= nasisitiza iwe kwenye hali nzuri.mwenye nayo njoo Pm tuwasiliane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom